Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema wamejipanga kuwafikia wananchi kupitia ziara zinazofanywa na viongozi wao ikiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
Makalla amesema hayo leo Jumanne Agosti 6, 2024 katika...
Ndugu zangu Watanzania,
Haya ni mahaba kwa Rais Samia ambayo watanzania wanampatia Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Hii haijawahi kutokea popote pale Barani Afrika kwa Kiongozi kupendwa kiasi hiki mpaka watu wanaishiwa nguvu za kusimama...
Ndugu zangu Watanzania,
Taarifa inayoendelea kusambaa Duniani kwote na kugonga vichwa vya habari ,ni kuwa Rais wetu na Jemadari Wetu Daktari Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara nzito sana ya kikazi Nchini Korea ya Kusini. Ambapo huko anatarajiwa kufanya mazungumzo mazito sana na Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.