Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kihistoria nchini Korea Mei 31 hadi Juni 6 mwaka huu kwa mwaliko wa Mheshimiwa Rais wa Korea, Yoon Suk Yeol, ziara ambayo ni hatua muhimu katika kuendelea kudumisha, kuimarisha na kuongeza ushirikiano wa moja kwa moja kati ya nchi...