ziara za samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Pre GE2025 Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa LPG Terminal GBP GAS-Tanga Machi 1, 2025

    Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa LPG Terminal GBP GAS-Tanga, leo tarehe 01 Machi, 2025. https://www.youtube.com/live/yU7aLIfGklo?si=e92RxILwhAd_xAwv Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi...
  2. Roving Journalist

    Pre GE2025 Rais Samia akagua Maboresho ya Bandari Tanga, Bilioni 429 zatumika ikiwemo ujenzi wa gati mbili mpya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Bandari ya Tanga na Kuzungumza na Wafanyakazi wa Bandari, leo tarehe 01 Machi, 2025. --- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Machi 1, 2025, ametembelea Bandari ya Tanga kukagua maboresho...
  3. Roving Journalist

    Pre GE2025 Rais Samia ahahidi miradi mikubwa ya maji, barabara na bandari mkoani Tanga

    Rais Samia akihutubia wananchi Uwanja wa Mkwakwani-Tanga Februari, 2025 https://www.youtube.com/live/Lqk6B8qSCoI?si=2Z5y6iUkJ_BXBm31 Mbunge wa Tanga Mjini, Ummy Mwalimu, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuangalia uwezekano kuvirejesha viwanda vya mkoa huo ili kuchochea ajira na maendeleo ya...
  4. Roving Journalist

    Pre GE2025 Tanga: Rais Samia agawa mitungi ya gesi (LPG) na kuzungumza na wananchi wa Muheza

    Tanga: Rais Samia akigawa mitungi ya gesi (LPG) na kuzungumza na wananchi wa Muheza, Tanga Februari 27, 2025. https://www.youtube.com/live/f7YdbNKOKTs?si=3P4VZ7EdvyNewX9Q Ester Barua ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Magila iliyopo Muheza mkoani Tanga akiwa kwenye kiti cha Rais Samia...
  5. Roving Journalist

    Rais Samia: Majengo 122 yamejengwa nchini kuboresha huduma kwa Wananchi!

    Ziara ya Rais Samia Lushoto - Tanga Februari 24, 2025 https://www.youtube.com/live/LNpz7Pc79wE?si=yn9bJoLvJnntvhA- "Nimekuja kuangalia matumizi ya fedha mbalimbai zinazoletwa kuondoa shida za wananchi, nimekuja kuangalia kama kweli zimeondoa shida za wananchi, nami sitaki nilaumu nataka niseme...
  6. Suley2019

    Rais Samia ameanza ziara yake mkoani Arusha

    Rais Samia amewapongeza wakazi wa Mkoa wa Arusha wakiwemo Viongozi wa dini na wadau wa Utalii kwa kuendelea kutunza Amani na utulivu, suala ambalo limechangia Ongezeko kubwa la idadi ya watalii pamoja na mikutano mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa. Rais Samia ametoa pongezi hizo leo Jumatano...
Back
Top Bottom