ziara

Al-Ziyarah (Arabic: الزيارة‎, also spelled Zeyareh) is a town in northern Syria, administratively part of the Hama Governorate, located 75 kilometers northwest of Hama. It is situated in the Ghab plain, on the eastern bank of the Orontes River. Nearby localities include Qarqur 7 kilometers to the north, Sirmaniyah to the northwest, Qastun to the east and Farikah, Khirbet al-Arus and al-Amqiyah Tahta to the south. According to the Syria Central Bureau of Statistics, al-Ziyarah had a population of 3,541 in the 2004 census. It is also the center of the Al-Ziyarah Nahiyah ("subdistrict"), part of the Al-Suqaylabiyah District, consisting of 25 localities and with a combined population of 38,872 in 2004.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Waziri Bashe ni mgonjwa sana ashindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Nzega

    MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini. Kwa mujibu wa Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa Mbunge wao ni mgonjwa na ameshindwa kuhudhuria ziara hiyo ya Waziri...
  2. Ziara ya Lissu Uganda: Alimsifia Nyerere kwa 20% lakini alimdhalilisha pia kwa 80%

    Kwa kweli Mwalimu JK Nyerere alifanya mambo makubwa kwa taifa hili na bara la Afrika na duniani na pengine wengi wetu tumefikia mafanikio tuliyoyapata kielimu, kazi na hata afya kwa sababu ya sera zake za kujali wanyonge na kuiishi falsafa ya binaadamu wote ni sawa kwa vitendo. Mtu kwenda...
  3. Ziara za Rais Samia ni za kuonesha ukwasi wa Serikali kwenye anasa? Hana habari na Trump kukata pesa? Full anasa

    Jana nilikuwa Tanga na ile Ziara ya Raisi Samia Tanga ina sio chini ya V8 300, Bado hujazungumzia Nisan Patroo, bado Toyoto landcruser hardtop na magari mengine. Hapo jirani tu Hospitali ya Bombo ukifikankuna wagonjwa walisha jijatia tamaa make ndugu hawana uwezo wa pesa za vipimo. Hii ni nchi...
  4. Rais Samia afungua Shule ya wasichana Tanga, apendekeza iitwe Beatrice Shellukindo

    Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025. https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi iitwe jina la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi kupitia CCM Beatrice Shellukindo aliyefariki...
  5. B

    Waziri Kikwete kufanya ziara ya siku tatu Mkoani Songwe

    ✅ Atakagua na Kuzindua Miradi ya Maendeleo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Februari 23, 2025 amewasili mkoani Songwe kwa lengo la ziara ya kukagua miradi ya Maendeleo ikiwemo ya sekta ya Elimu, Afya na Miundombinu kwa...
  6. L

    Ziara Ya Rais Samia Mkoani Tanga Itakuwa Ya Hisia Kali Sana na Nchi Itasimama. Kwa sababu ndio Mkoa aliotangazia Kifo cha Hayati Magufuli

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kufanya...
  7. B

    Wawekezaji 30 kutoka Saudi Arabia wafanya ziara maalum nchini Tanzania

    13 February 2025 Unguja Zanzibar, Tanzania Wawekezaji 30 kutoka Saudi Arabia wafanya ziara maalum nchini Tanzania - SADC https://m.youtube.com/watch?v=M0oksDu6e44 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi mheshimiwa Dk Hussein Ali Mwinyi...
  8. TRA yafanya ziara vituo vya forodha ukanda wa Pwani ili kudhibiti shughuli za magendo

    Kamishna wa Idara ya Upelelezi wa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Hashimu Ngoda amefanya ziara ya kutembelea vituo vya forodha ukanda wa pwani katika maeneo ya Kunduchi, Mbweni pamoja na Bagamoyo lengo likiwa ni kuangalia utendaji wa shughuli za forodha katika kudhibiti shughuli za...
  9. Katibu Mkuu CUF afanya ziara TAWLA (Chama cha wanawake wanasheria)

    Katibu mkuu wa chama cha wananchi-cuf madam Husna Mohamed Abdallah leo jumanne tarehe 11 February 2025 alifanya ziara chama cha wanasheria wanawake Ilala Dar-es-salaam,katika ziara hiyo mbali na kujitambulisha lakini alipata nafasi ya kujadiliana mambo mbali mbali.
  10. RC Kigoma afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo, asema barabara za vumbi zitasahaulika kuelekea Tabora

    Serikali mkoani Kigoma imeahidi kuendelea kusimamia kwa ufanisi miradi yote ya Maendeleo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati na ubora kama ilivyopangwa sambamba na kutosita kuchukua hatua kwa mkandarasi yeyote atakayekiuka makubaliano ya mkataba na kukwamisha miradi hiyo. Kauli hiyo imetolewa...
  11. Uongozi wa Simba SC mnaweza kutuambia Ziara yenu majuzi Bungeni ilikuwa ya nini mkijua bado tuko Vitani?

    Mmeniangusha mno kwani mlifanya kitu cha Kipuuzi mno ambacho Kimetugharimu (Kuingiza Simba SC Siasani) wakati ni Timu ya Mpira na tuko katika Vita Kubwa ya Ubaya Ubwela.
  12. Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili wananchi

    Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili jamii katika maeneo haya. Katika ziara hiyo, alikuta hali ya ukosefu wa maji safi na salama, jambo ambalo ni muhimu kwa afya na ustawi wa wananchi. Maji ni...
  13. Waziri wa Ulinzi na JKT afanya ziara Wilayani Monduli kuzungumza na viongozi wa jamii ya wafugaji

    Januari 24, 2025, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Tax (Mb) amefanya ziara ya Kikazi katika Wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kimila wa jamii ya Kimasai, Viongozi wa Vijiji na Madiwani, katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya...
  14. Dkt. Abbas afanya ziara TAFORI, ahamasisha watafiti kufanya tafiti za kimaendeleo

    Na Mwandhishi Wetu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amewahamisisha Wataalamu wa utafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), kuandaa miradi mbalimbali ya utafiti yenye kuleta maendeleo chanya ndani ya Taasisi na katika sekta ya Misitu na ufugaji...
  15. Ziara ya waziri Wang Yi ina maana kubwa katika kuendeleza uhusiano kati ya China na Afrika

    Kila mwanzoni mwa mwaka, diplomasia ya China ina “makubaliano yasiyobadilika” — ziara ya kwanza ya waziri wa mambo ya nje lazima iwe Afrika, na mwaka huu hauna tofauti. Kuanzia tarehe 5 hadi 11 Januari, Wang Yi, Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC na...
  16. Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni

    Mnamo Januari 9, 2025, Zanzibar itashuhudia tukio la kihistoria itakapompokea Sultan Jamshid bin Abdullah kurejea kwenye pwani zake. Hili ni tukio muhimu sana kihistoria, kwani mtawala wa zamani wa Zanzibar anarudi baada ya miongo sita ya uhamisho nchini Uingereza na Oman, kufuatia kuondolewa...
  17. G

    Hivi faragha ya kuchakatana na bikra inakuwa ni gwaride kwa kwenda mbele ama ni ziara ya mafunzo?

    Jamani eeh! Mwenzenu ktk pitapita zangu wiki iliyopita nilibahatika kumpata bikra. Sasa leo, siku ya sikukuu ya Krismasi ndiyo fursa ya huyu bikra kuniruhusu nichane bahasha ili niisome barua yake. Bahati mbaya, sijawahi kuletewa barua ikiwa ikiwa kwenye bahasha iliyofungwa kwa gundi. Hivyo...
  18. Dkt. Nchimbi kuanza ziara mkoani Tabora

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili mkoani Tabora kwa ajili ya ziara ya siku mbili, ambapo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Tabora, na kupokelewa na wenyeji wake, waliiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Ndugu Said Juma Nkumba, Balozi...
  19. Ziara za Cuba dhidi ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Cuba, balansi inapatikana wapi?

    Ni swali ambalo nimejiuliza kwa muda kidogo. Tunapataje uwiano katikati ya mambo haya?! Bepari atanuna, but na sisi tuko non aligned, Sijui tinafanyaje
  20. Ziara ya Katibu Mwenezi Zangina Kuhamasisha Wananchi Kujiandikisha, Malinyi

    ZIARA YA KATIBU MWENEZI ZANGINA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA, MALINYI Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Ndugu Zangina S. Zangina katika kipindi cha Kujiandikisha alitumia muda mwingi kuhamasisha Wananchi wote wa Mkoa wa Morogoro kwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…