ziara

Al-Ziyarah (Arabic: الزيارة‎, also spelled Zeyareh) is a town in northern Syria, administratively part of the Hama Governorate, located 75 kilometers northwest of Hama. It is situated in the Ghab plain, on the eastern bank of the Orontes River. Nearby localities include Qarqur 7 kilometers to the north, Sirmaniyah to the northwest, Qastun to the east and Farikah, Khirbet al-Arus and al-Amqiyah Tahta to the south. According to the Syria Central Bureau of Statistics, al-Ziyarah had a population of 3,541 in the 2004 census. It is also the center of the Al-Ziyarah Nahiyah ("subdistrict"), part of the Al-Suqaylabiyah District, consisting of 25 localities and with a combined population of 38,872 in 2004.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Dkt. Samizi afanya ziara Jimboni, achangia zaidi ya Milioni 3 Ujenzi wa nyumba ya Mganga wa Kituo cha afya

    DKT. SAMIZI AFANYA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA ZAIDI YA MILIONI 3 UJENZI WA NYUMBA YA MGANGA WA KITUO CHA AFYA. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amefanya ziara ya kusikiliza kero za wananchi kata ya Usagara Jimboni ambapo pamoja na mambo mengine ameweza...
  2. Ziara ya Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Juliana Shonza kata ya Hasanga wilayani Mbozi - Songwe

    ZIARA YA MHE. SHONZA KATA YA HASANGA WILAYANI MBOZI - SONGWE Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Songwe Mhe. Juliana Danieli Shonza ameendelea na ziara yake katika maeneo mbalimbali ya Mkoa na Songwe ikiwa na lengo kushirikiana na wananchi hususani wanawake katika ujenzi wa kituo cha Afya...
  3. Iringa: Mbunge wa Viti Maalum, Rose Tweve afanya ziara wilayani Mufindi

    MBUNGE WA IRINGA, MH. ROSE TWEVE AFANYA ZIARA WILAYANI MUFINDI MKOANI IRINGA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Rose Tweve amefanya Ziara Kata ya Saohill, Upendo, Wambi, Changarawe, Kinyanambo na Kata ya Boma. WANAWAKE WA Wilaya ya Mufindi wanasema Mhe. Dkt. Samia Mitano tena mbele ya...
  4. Chunya, Mbeya: Mbunge Masache Kasaka afanya ziara jimboni Lupa

    ZIARA JIMBONI LUPA Tarehe 22 Februari 2023 Mbunge wa Jimbo la Lupa, Mhe. Masache Kasaka Mbunge wa Lupa akiongozana na wajumbe wa Mfuko wa Jimbo wameendelea na ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo Wilaya ya Chunya. Amekagua; 1. Ujenzi Barabara, 2. Kituo Afya Ifumbo, 3. Sekondari Isenyela na 4...
  5. Nancy Nyalusi afanya Ziara ya Kikazi Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo - Iringa

    MHE. NANCY NYALUSI AFANYA ZIARA YA KIKAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO - IRINGA MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa (CCM) Mhe. Nancy Nyalusi amefanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya Kilolo mkoani Iringa katika kijiji cha Ng'uruwe ambapo amachangia Shilingi Milioni 1 kwenye...
  6. Mbunge Masache Kasaka afanya ziara ya ukaguzi miradi

    MBUNGE MH. MASACHE KASAKA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI MIRADI Mbunge wa Jimbo la Lupa-Chunya, Mhe. Masache Kasaka ameendelea na ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo iliyopokea Fedha za Mfuko wa Jimbo. Tarehe 21 Februari 2023 Mhe. Masache Kasaka ametembelea; 1. Kituo cha Afya-Matwiga, 2. Shule...
  7. Juliana Shonza afanya ziara ya kimkakati

    MHE. JULIANA SHONZA, MBUNGE (UWT) CCM VITI MAALUM MKOA WA SONGWE AFANYA ZIARA YA KIMKAKATI Katika ziara yake iliyoanza mnamo tarehe 18 Februari, 2023 Mhe. Juliana Daniel Shonza alifika Wilaya ya Ileje na kubisha hodi kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ileje komredi Hassan...
  8. B

    Ziara ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango mkoa w Kagera

    Makala haya yanahusu ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango alioifanya Mkoa wa Kagera. Makamu wa Rais alifungua Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Nyumba NHC, alitembelea Shamba la Miti Rubare, maporomoko ya maji ya Kyamunene alishiriki Ibada...
  9. Sijasikia popote Papa Francis aliposema waache kupigana, ameishia kuwaombea amani tu

    Nimekuzwa nikimfatilia baba mtakatifu DRC mpaka South Sudan sijaona au kusikia mahala popote aliposema waache kupigana Bali kuwaombea amani tu. Sasa sijui amani kama inaweza kupatikana kweli bila kuacha kupigana. Haya ma observation yangu msinitukane.
  10. Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  11. Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu afanya ziara Hospitali ya Wilaya Tukuyu

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu akiongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama amefanya ziara fupi tarehe 02.2.2023 katika Hospitali ya Wilaya Tukuyu (Makandana) na kujionesha shughuli za utoaji wa huduma ya matibabu zinavyoendekea sambamba na kuzungumza na wagonjwa. Akiwa katika wodi...
  12. Uchambuzi wa ziara ya Rais Samia aliyoifanya Davos na Dakar, Bashe amtaja Mr Kuku kuwa anafuatiliwa

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhuru Yunus pamoja na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe; Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo, Gerald Geofrey Mweli pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mazao, Wizara ya Kilimo, Nyasebwa Chimagu wakizungumza na vyombo vya habari kuhusu ziara ya Rais wa...
  13. P

    Ziara ya Rais Samia nchini China yazaa matunda mapema sana

    Baada ya ziara ya Rais Samia nchini China, 98% ya bidhaa kutoka Tanzania kwenda China zitaingia bila kutozwa ushuru. Hii itatoa fursa kubwa kibiashara kwa wakulima, wafugaji na wafanya biashara wetu kulisha soko jipya la China. China inaidadi kubwa ya watu kuliko nchi zote duniani hivyo hii ni...
  14. B

    CHADEMA jifunzeni kwenye Ziara ya Makamu wa Rais Kahama

    Habari kutokea Kahama zinasema Dr. Mpango yupo wilayani humo tokea juzi. Uwepo wake umekuja na adha itakayobakia mioyoni mwa wakazi wa huko Kwa muda mrefu. Taarifa zinasema jana barabara zote za maana kwa zaidi ya masaa 4 zilikuwa zimefungwa. Hii ikiwa kuanzia saa mbili hadi baada ya saa nne...
  15. L

    Kumalizika kwa ziara ya Qin Gang ni mwanzo mzuri kwa diplomasia ya China barani Afrika kwa mwaka huu

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang amemaliza ziara yake ya siku tano barani Afrika ilivyomfikisha Ethiopia, Gabon, Angola, Benin, na Misri. Hii ni ziara ya kwanza ya kikazi ya Bw. Qin Gang tangu ateuliwe kuwa waziri wa mambo ya nje wa China, na imefanyika wakati ushirikiano kati ya...
  16. Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amefanya ziara kijiji cha Msula kata ya Misughaa kukagua miradi minee ya maendeleo

    MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu, Januari 13 2023,amefanya ziara kijiji cha Msula Kata ya Misughaa na kukagua miradi minne ya maendeleo inayotekelezwa kwenye kijiji hicho. Katika ziara hiyo aliyoambatana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Ikungi Ikimbia Khangaa na viongozi...
  17. L

    Waziri wa mambo ya nje wa China aanza ziara ya kwanza ya mwaka mpya barani Afrika, desturi ikidumu miaka 33 mfululizo

    Kuanzia tarehe 9 hadi 16 mwezi huu, waziri mpya wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang atafanya ziara nchini Ethiopia, Gabon, Angola, Benin, Misri, na pia kutembelea makao makuu ya Umoja wa Afrika na ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu. Hii sio tu ni ziara ya kwanza ya mambo ya nje ya Qin Gang akiwa...
  18. B

    Ridhiwani Kikwete afanya ziara Jimboni, agawa vifaa vya masomo na kukagua miradi

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete Jana Ijumaa Januari 06, 2023 amefanya ziara Jimboni kwake ambapo amekagua ujenzi wa madarasa 13 kata ya Msata ambapo Serikali ya Rais Samia imetoa milioni 280 kujenga...
  19. Mexico: Wiki moja kabla ya ziara ya Rais Biden, mtoto wa El Chapo akamatwa Mexico

    Ukamatwaji huo wa Ovidio Guzman-Lopez ambao pia umetajwa kuihusisha Marekani kumesababisha machafuko maeneo tofauti kwenye Jimbo la #Sinaloa kutoka kwa makundi ya kihalifu na kusababisha kifo kwa maafisa watatu. Ovidio ‘The Mouse’, ndiye anaendesha biashara za dawa za kulevya na uhalifu...
  20. Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mara kukagua na kupokea madarasa 58 Serengeti

    Mkuu wa mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee ameanza Ziara ya kukagua na kupokea vyumba 58 vya Madarasa vikiwa na samani zake Katika shule 21 za sekondari zilizogharimu kiasi cha Billion 1.16 zilizotolewa na serikali ya awamu ya sita ,ziara hiyo itakayofanyika kwa muda wa siku Mbili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…