ziara

Al-Ziyarah (Arabic: الزيارة‎, also spelled Zeyareh) is a town in northern Syria, administratively part of the Hama Governorate, located 75 kilometers northwest of Hama. It is situated in the Ghab plain, on the eastern bank of the Orontes River. Nearby localities include Qarqur 7 kilometers to the north, Sirmaniyah to the northwest, Qastun to the east and Farikah, Khirbet al-Arus and al-Amqiyah Tahta to the south. According to the Syria Central Bureau of Statistics, al-Ziyarah had a population of 3,541 in the 2004 census. It is also the center of the Al-Ziyarah Nahiyah ("subdistrict"), part of the Al-Suqaylabiyah District, consisting of 25 localities and with a combined population of 38,872 in 2004.

View More On Wikipedia.org
  1. Jicho la Mwewe: Kufukuzwa kazi kwa Balozi Mulamula ni matokeo ya ziara za Rais nchi za nje

    Rais amekuwa akisafiri kwenda nchi za nje almost non stop tangu aingie madarakani kwa connection, mafanikio ya safari hizo kuanzia mapokezi, malengo n.k yalitegemea tu namna Waziri wa Mambo ya Nje alivyoyaandaa akiwa bega kwa bega na wenyeji wa nchi husika. Mapokezi mabovu na kuonekana kama...
  2. Mambo Matano Ziara ya Rais Samia Suluhu Msumbiji

    Amani Rais Samia alisema amani iliyopo kati ya nchi hizo, inatokana na vyama vilivyopo madarakani hivyo aliomba tunu hiyo ilindwe. “Sasa ili tuendelee kudumu madarakani lazima tuje na fikra mpya, tujifunze kwa vyama vilivyoondolewa madarakani…amani na utulivu ni matokeo ya vyama vyetu kuendelea...
  3. ZIARA : Shaka Kufanya ziara Kwenye daraja Jipya la Wami lenye urefu wa mita 510 lililogharimu TZS 76BL,Je nani kuliwa kichwa?

    Nawasalimu kwa jina la JTM, Ziara za Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka Hamdu Shaka zimekuwa zikiacha vilio kwa wazembe na wapigaji katika maeneo ya miradi mbalimbali hapa chini, Je, tutarajie pia kesho kunamtu ataliwa kichwa na Katibu huyu wa NEC itikadi &Uenezi wa CCM...
  4. J

    Katibu Mkuu UVCCM Kenani Kihongosi kufanya ziara mkoani Dar es Salaam

    ZIARA MKOANI DAR ES SALAAM Ziara ya Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi mkoani Dar es Salaam. Tarehe: 10 - 11 SEPTEMBA, 2022 @ccm_tanzania
  5. Kinana, katika ziara zako za vikao vya ndani waulize wana CCM hivi

    Comred Kinana ukisha maliza mikutano ya hadhara katika ziara zako kutana na wanachama wa CCM vikao vya ndani waulize, chama kinavyoenenda kama tukiweka katiba mpya na uchaguzi ulio huru na haki tutashinda 2025? Tena ukiweza waulize wanachama wa kawaida kwa sababu viongozi watakudang'anya...
  6. M

    Sijaelewa itifaki ilivyopangwa ziara ya Rais Samia huko Zanzibar

    Wanabodi, Mhe. Samia alifanya ziara huko Zanzibar kwenye eneo la Kizimkazi mahali pa asili yake. Cha ajabu (sijui labda uelewa wa wengine sio ajabu) miongoni mwa viongozi wakuu watatu wa Zanzibar yaani Rais, Makamu 1 na Makamo 2 sikumuona hata mmoja hapo. Au kwa vile ni kijijini kwake, kwa...
  7. J

    Kinana atua Kigoma katika ziara ya kuimarisha chama

    CDE KINANA ATUA KIGOMA KWA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Omari Kinana amewasili leo Alhamisi tarehe 01 Septemba, 2022 mkoani Kigoma kwa ziara ya siku moja mkoani humo ya kukagua uhai wa chama, utekelezaji wa ilani...
  8. L

    Ziara ya wanadiplomasia wa Afrika mkoani Hunan, China, kufungua fursa nyingi zaidi za kibiashara na kiuchumi

    Na Pili Mwinyi China na Afrika ni ndugu ambao wanafaana wakati wa dhiki na faraja, na uhusiano uliopo kati yao tunaweza kusema kwamba ni uhusiano wa kihistoria duniani. Uhusiano huu mashuhuri ambao unajulikana vizuri na kwa mapana zaidi duniani, kutokana na umuhimu wake katika kuchangia...
  9. Jicho langu katika ziara ya Rais Nyanda za Juu Kusini

  10. Meli ya Kijeshi USS HERSHEL - Woody Williums kutoka Marekani kufanya ziara ya siku tatu Tanzania

    Ni katika harakati za kuimarisha uhusiano wa kiulinzi meli hii kubwa ya kijeshi kutoka USA inafika bandari Salama ikiwa ni zaidi ya muongo mmoja kutokea kwa tukio hili.
  11. Mkimaliza ziara tunaomba gharama za mafuta za msafara wa Raisi

    Salama wandugu Mama yupo mtaani akifungua baadhi ya miradi na kuona maendeleo ya nchi. Sasa si vibaya sana tukapewa gharama yote ya mafuta ya msafara wake Kupata gharama hizo tuweze kutoa ushauri magari yapunguzwe au yafungwe mifumo gesi asilia yote . Haileti maana bei ya mafuta IPO juu lakini...
  12. Kwanini watu wa kamera wanaruhusiwa kuhujumu ziara ya Rais Samia?

    Rais Mh. Samia Suluhu Hassan ameonyesha wazi kutoridhika na utendaji kazi wa wapiga picha waliokuwa kwenye msafara wake kwa kushindwa kupiga picha nzuri zinazoonyesha umati wa watu wanaofika kumpokea. Rais Samia akiwa Njombe amelazimika kuwaagiza wapiga picha kupanda juu ya magari ili waweze...
  13. B

    Ratiba ya Ziara ya Mbunge wa Ludewa, Joseph Kamonga jimboni kwake

    RATIBA YA ZIARA YA MBUNGE WA LUDEWA MHE. JOSEPH KAMONGA JIMBONI KWAKE. Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mkoani Njombe Joseph Kamonga atakuwa na ziara ya Wiki 1 kwenye Kata 7 Jimboni kwake Ludewa kuanzia Ijumaa hii Agosti 12, 2022 hadi Alhamisi Wiki ijayo Agosti 18, 2022. Itakuwa ni ziara ya kutoa...
  14. Ziara ya Raisi Mbona hawa wananchi hawaelezi kero zao

    Wandugu nawashangaa hawa wananchi wanaotembelewa na Raisi Samia siwasikii wakieleza kero zao wamesimama tu kama makatuni flani hivi,hawajielewi au wametishwa.
  15. Waziri wa Mambo ya Nje, Dkt. Stergomena awasili Msumbiji katika ziara ya siku 4

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amewasili Maputo Nchini Msumbiji kwa ziara ya kikazi ya siku nne (4), ambapo amepokelewa na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake, Waziri wa Ulinzi wa Msumbiji, Cristovao Chume kabla ya kutembelea maeneo mbalimbali ya...
  16. B

    Rais Samia aendelea na ziara mkoani Mbeya

    MHE. RAIS SAMIA ANAENDELEA NA ZIARA MKOANI MBEYA. LEO NI ZAMU YA CHUNYA, KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO. Leo Jumamosi Agosti 06, 2022 Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anaingia siku ya Pili ya ziara yake Mkoani Mbeya aliyoianza Jana. Leo ni zamu ya Wilaya ya Chunya ambapo Rais Samia...
  17. L

    Ziara ya Pelosi katika sehemu ya Taiwan yaleta hasara kwa pande zote

    Spika wa Baraza la Wawakilishi la Bunge la Marekani Nancy Pelosi hivi karibuni alifanya ziara Taiwan, China, na kuongeza hali ya wasiwasi ya kikanda na ya kimataifa. Kitendo hiki cha kisiasa kinacholeta hasara kwa pande zote kimeonyesha kuwa, mfumo wa kisiasa wa Marekani ni kama mgonjwa. Kwanza...
  18. Unguja: Waziri Dkt. Stergomena afanya ziara kutatua migogoro ya ardhi kati ya jeshi na Wananchi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amewatembelea na kuongea nao Wananchi wa maeneo ya Visiwa vya Unguja kuhusu namna watakavyoshirikiana katika kutatua migogoro ya ardhi baina yao na vikosi vya Jeshi. Akiwa kisiwani humo, Stergomena alipata fursa ya...
  19. Maajabu:Pesa za TASAF zapigwa kwa ajili ya ziara ya Mbunge

    IKUNGI-SINGIDA Katika hali isiyokuwa ya kawaida kuna taarifa kutoka jimbo la Singida Mashariki mkoani Singida kwamba Mbunge wa jimbo hilo Miraji Mtaturu ameshirikiana na baadhi ya viongozi wa Kata ya Ntuntu katika Wilaya ya Ikungi kukata pesa kwa ajili ya kunusuru kaya maskini almaarufu kama...
  20. Daniel Chogolo , Katibu Mkuu wa CCM Taifa ,anatarajiwa kutembelea mkoa wa Kilimanjaro kwa ziara ya kikazi.

    Taarifa zaidi kuwafikia .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…