Siku imepita lakini fikra hazikomi kunyukana baada ya kusoma gazeti la Mwanachi lenye kichwa cha habari “KUNI ZINAVYOKATISHA UHAI KWA KASI, JANUARY ASHTUKA”. Baadae, mikono nayo inanituma kutia wino yale yote kichwa hunena.
Yamkini watanzania wengi wamesikia/kuona ziara za Mh.Makamba (Waziri...