ziara

Al-Ziyarah (Arabic: الزيارة‎, also spelled Zeyareh) is a town in northern Syria, administratively part of the Hama Governorate, located 75 kilometers northwest of Hama. It is situated in the Ghab plain, on the eastern bank of the Orontes River. Nearby localities include Qarqur 7 kilometers to the north, Sirmaniyah to the northwest, Qastun to the east and Farikah, Khirbet al-Arus and al-Amqiyah Tahta to the south. According to the Syria Central Bureau of Statistics, al-Ziyarah had a population of 3,541 in the 2004 census. It is also the center of the Al-Ziyarah Nahiyah ("subdistrict"), part of the Al-Suqaylabiyah District, consisting of 25 localities and with a combined population of 38,872 in 2004.

View More On Wikipedia.org
  1. Ziara ya Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Mkoa wa Tabora, Igunga

    📍Igunga, Tabora Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Zainabu Shomari (MNEC) akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe. Sauda Mtondoo, Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Bw. Francis Msabila, Mganga Mkuu wa Wilaya, Mganga...
  2. Mbunge Martha Festo Mariki Ahitimisha Ziara na kugawa Milioni 29 Katika Kata Zote 58 za Mkoa wa Katavi

    MBUNGE MARTHA FESTO MARIKI AHITIMISHA ZIARA NA KUGAWA MILIONI 29 KATIKA KATA ZOTE 58 MKOA WA KATAVI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amehitimisha ziara yake ya kutembelea Kata 58 za Mkoa wa Katavi katika Kata ya Majimoto na Kasansa zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya...
  3. Ziara ya Rais Mbeya, ni coincidence au mikakati ya kimedani?

    Follow the rising star. Picha huzungumza maneno alfu na moja Hukumu ya kesi ikahairishwa....
  4. CHADEMA mnapanga ziara na mnasahau viongozi wenu watalala wapi halafu tuwape nchi?

    Ukitaka kujua uchanga wa CHADEMA soma hii; Kamanda Maro Amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa wakati moto huo unagundulika, viongozi na maofisa wa CHADEMA hawakuwepo hotelini hapo kwa sababu walilala eneo lingine baada ya kukosa nafasi hoteli ya Twiga. ‘’Baada ya kukosa nafasi ya kulala...
  5. Rais wa Algeria akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Tax katika Ikulu ya Algiers

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune amekutana Kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) alipomtembelea Ikulu Jijini Algiers, Algeria tarehe 1 Agosti 2023. Mazungumzo hayo yamefanyika pembezoni mwa...
  6. S

    Chongolo simamisha ziara yako fanya tathmini msimdanganye Rais

    Katibu Mkuu Chongolo ni vizuri ukasimamisha ziara yako ukapata muda wa kufanya tathmini ili kujua kama hiyo mikutano yako iko connected na wananchi kwa kiasi gani. Msitafute picha za mahudhurio feki na kumtumia DP World na Mh. Rais Samia mkimdanganya kwamba wana CCM wamekubali mkataba huo...
  7. Rais Samia kwenda Kenya kimyakimya: Je, ni sahihi kwa Usalama wake? Kwanini Usalama wa Taifa wametuficha ziara ya Rais wetu kwenda Kenya?

    Je, ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa? Je, Mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto? --- Pia soma: Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini...
  8. J

    Chongolo anza ziara nchi nzima kufafanua ufisadi ripoti ya CAG

    Watanzania wanaomba viongozi wa CCM, kuanza ziara nchi nzima kujibu hoja za ufisadi zilizotajwa na CAG kuhusu ufisadi wa Matrilioni ya fedha uliofanywa na vigogo wa Serikali kama wanavyofanya sasa kujibu hoja za mkataba wa Bandari. Ziara ya Bandari isimame kwanza na wafanye tathmini ya...
  9. S

    Mbona hatukumuona Chongolo akifanya ziara ya kulaani ufisadi wa CAG? Kwanini anatetea Mkataba tu wa DP World?

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo anasema ni wajinga wanaokosoa mkataba wa IGA kauli hii ni kinyume cha Katiba na Sheria za nchi na Miiko ya Viongozi wa CCM kuhusu kuheshimu utu na uhuru wa kutoa maoni. Kauli yake nyingine ni ile aliyoitoa kwenye Mkutano wa hadhara wa mikoa ya nyanda za juu...
  10. Spika Tulia aanza ziara ya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya faida za mkataba wa bandari

    SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.
  11. Picha za matukio: Ziara ya Rais Samia Nchini Malawi akiwa na mwenyeji wake, Rais Dkt. Chakwera

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni View Point pamoja na Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7...
  12. J

    Waziri Kairuki afanya ziara ya kikazi Tanga

    WAZIRI KAIRUKI AFANYA ZIARA YA KIKAZI TANGA WAZIRI wa Nchi,@ortamisemitz Mhe. Angellah Kairuki leo tarehe 06 Julai 2023 amewasili Wilayani Korogwe mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo. Mhe.Kairuki atakagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Elimu na Afya. Pia...
  13. B

    Rais Samia awasili Lilongwe kwa ziara ya siku 3

    5 July 2023 Lilongwe, Malawi RAIS SAMIA HASSAN AWASILI NCHINI MALAWI KWA ZIARA YA SIKU 3 Alipowasili amepokelewa uwanja wa ndege wa Kamuzu International Airport (KIA) na mwenyeji wake Rais Lazarus Chakwera wa Malawi na viongozi wengine wa juu wa serikali ya Malawi. Rais Samia anatazamiwa...
  14. Mbunge wa Jimbo la Igunga aendelea na ziara Jimboni

    📍 Igunga, Tabora ❇️ MBUNGE NGASSA KUANZA ZIARA JIMBONI ❇️ KUHUTUBIA MIKUTANO SITINI (60) ❇️ KUFANYA ZIARA KATA KUMI (10), VIJIJI THELATHINI (30) Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, anaanza ziara ya Kikazi Jimboni kwa ajili ya kutoa mrejesho wa Bunge la Bajeti kwa...
  15. Mbunge Jafari Chege Wambura aendelea na ziara Jimboni Rorya

    "Naomba Mbunge utusaidie kujenga nyumba za Walimu, Walimu wako tunakaa kwenye nyumba ambazo zimejengwa mwaka 1979, nyumba zetu hazina siri, tunashindwa kuwa na faragha na familia zetu, naomba Mheshimiwa Mbunge ulione hilo" - Mwalimu, Kata ya Mirare Jimbo la Rorya "Lakini pia upande wa wanafunzi...
  16. Mbunge Jafari Chege Afanya Ziara na Mkutano wa Hadhara katika Kata ya Kitembe

    MHE. JAFARI CHEGE WAMBURA AFANYA ZIARA NA MKUTANO KATIKA KATA YA KITEMBE Mbunge wa Jimbo la Rorya Mkoa wa Mara, Mhe. Jafari Chege Wambura ameanza ziara rasmi na kufanya Mkutano wa kwanza katika Kata ya Kitembe Wilaya ya Rorya "Wakati nawaomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Rorya mwaka 2020...
  17. L

    Ziara ya ujumbe wa viongozi wa Afrika nchini Ukraine na Urusi yaonesha kuwa na Mafanikio

    Ujumbe wa nchi za Afrika ulioongozwa na Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ulifanya ziara nchini Ukraine na Russia, na kukutana na viongozi wa pande hizo mbili ukitafuta njia za kutatua mgogoro huo ambao umekuwa na madhara kwa nchi mbalimbali za Afrika. Ujumbe huo ni moja ya juhudi za jumuiya...
  18. Tujikumbushe misukosuko ya kitaifa, EPA, RICHMOND, DOWANS, ESCOW, NET GROUP, BUZWAGI

    Natamani tujikumbushe baadhi ya matukio yenye ukakasi yaliowahi kutikisa umma wa watanzania na kupelekea serikali kutikisika huko nyumba.. Tanzania ingeweza kuwa mbali sana kiuchumi ikiwa uzalendo wa dhati ungetamalaki ktk michakato ya mambo muhimu Kwa maendeleo ya nchi yetu.. EPA-Uchotwaji wa...
  19. L

    Msimamo wa China wafanya Bw. Blinken afanye ziara nchini China

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Antony Blinken anafanya ziara nchini China, ikiwa ni ziara ya kwanza ya ofisa mwandamizi wa serikali ya Marekani nchini China tangu Rais Joe Biden aingie madarakani. Ziara hii inatajwa kuwa ni ziara muhimu, lakini inayofanyika katika kipindi ambacho...
  20. Viongozi wa CHADEMA waenda Mapumzikoni Ulaya baada ya ziara ya +255

    Salaam Wakuu Viongozi wakuu wa CHADEMA wameanda zao Italy na Ujerumani baada ya kuhitimisha Ziara ya +255. Chama kikuu cha upinzani, CHADEMA, hivi kilizindua kampeni maalumu ya kudai katiba mpya ikiwa ni takribani wiki mbili tangu Rais Samia Suluhu wa nchi hiyo kutangaza azma ya kuufufua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…