Ni tamaduni kwa kila siku Jua kuchomoza alfajiri na kuzama jioni, kisha kiza kutawala.
Lakini hii ni tofauti kwa baadhi ya nchi ambazo kwao jua kuzama ni kama maajabu kwao. Nchi hizo ni Sweden, Finland, Norway, Canada(Nunavut), Iceland na Alaska(Barrow).
Sweden, kwao huweza kukaa mpaka miezi...