zimekosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kauli za viongozi wa Serikali zimekosa uaminifu na utambuzi wa dhamana ya CCM kama chama

    Rais wa nchi ni mwanachama wa CCM, amebeba dhamana na kutenda kwa niaba ya CCM, yeye ni mwenyekiti wa chama, Rais wa Serikali ya CCM. Utambulisho wa Rais haupo katika ubinafsi bali yupo katika hali ya uwakilisho jumuishi na shirikishi. Viongozi wa Serikali katka ngazi mbali mbali Rais Hassan...
  2. M

    Malisa GJ huna uhalali wa kumlalamikia Nape kuku-block. Wewe ni kinara wa kupiga block

    Leo kwenye post ya kada wa chama cha Mbowe ndugu Yericko Nyerere nimeona post inayoelezea kada mwenzie Malisa Godlisten akilalamikia kulamba Block toka kwa Mheshimiwa Nape huko Twitter. Mimi sifurahishwi kabisa na mambo ya watu kupigana block mitandaoni kwasababu ni mwanzo wa chuki na upotevu...
  3. M

    Idara za vijana kwenye vyama zimekosa mweleko. UVCCM na BAVICHA hawaeleweki

    Ndugu wanaJF huu ni uzi wangu wa kwanza hapa ninaandika nikiwa nina hasira zisizo na mfano dhidi ya hizi idara za vyama vya siasa. Hawa vijana wamekosa mwelekeo na kuishia kuwa vituko tofauti na malengo ya uweo wao. Leo nitatoa mtazamo wangu kuhusu idara maarufu za ACT, BAVICHA na UVCCM kwa...
  4. Subaru Tribeca chuma makini

    Japo Subaru Forester imepata Promo na vijana walamba lips wengi wanainunua. Hiki chuma TRIBECA (Subaru) kimekosa kabisa machawa wa kupigia promo hapo Bongo?
  5. Mbona Sura za wana Yanga SC zimekosa Ushirikiano Jioni hii na Usiku huu kama vile Wamesingiziwa Kesi?

    Hakika Mwarabu ni Mtu mbaya sana.
  6. Kampeni nyingi za utunzaji mazingira zimekosa uhalisia

    Kabla hujaenda mbali kusoma huu uzi tazama hiyo picha kisha utuambie kama kinachofanyika hapo kinahamasisha chochote. Ndugu zangu katika mambo ambayo nimeshindwa kabisa kuyaelewa ni hizi kanpeni za kuhusu mazingira ninazoziona kwenye vyombo vya habari. Kwa upande wangu naona nyingi zinafanyika...
  7. Serikali yasema hoja 110 za CAG hazina mashiko

    Serikali imesema kati ya taarifa 533 zilizopokelewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) mwaka 2021, taarifa 110 zilifungwa kwa kukosa mashiko. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Eliezer Felishi ameyasema hayo, leo Novemba 5...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…