Wakuu,
Shirika la Taifa la Bima NHI hivi karibuni limebadilisha bei na majina ya vifurushi vyake.
Mabadiliko haya yalitangazwa tangu December 17th 2024 na sasa umepita takriban mwezi mmoja tangu mabadiliko hayo yafanyike.
Badala ya bei ya Tshs 194,000 sasa vifurushi vitaanzia 240,000 kwa watu...
Ntashangaa kusikia tkt za kulanguliwa hazipo Dec
Hii n miradi mirefu sana KUNA jamaa huwa ananunua HATA tkt 30 Dec analangua na ana madalali kabisa ukienda kwenye basi wanakwambia limejaa
Basii halijajaaaa kinachofanyika Wana mtu special ana tkt zao ndio maana wakikwambia tkt zimeisha ama...
Jana siku ya jumatatu 26.08.2024 nilimsindikiza mgonjwa Muhimbili akaandikiwa kipimo cha Ultrasound tulivyoenda kulipia tumekuta bei imepanda zamani ilikuwa Tsh 25,500 lakini jana tumelipishwa 35,500,je ina maana na vipimo vingine navyo vimepanda bei au imekaaje hii.
Je hali ikiwa hivi sisi...
Hellow
Leo nimefika shop kununua pipi kifua kifua kidogo kinanisumbua so nikasema ngoja nipate pipi kifua, nikatoa jero ili nipate kumi naambia moja 100 sio 50 duh nikauliza kwanzia lini wakasema mbona ndio bei yake
Kwani pipi kifua zina matumizi mengine ambayo mm siyajui up zinapanda bei...
Kweli Kizimkazi anawanyoosha nyie wanyonge wa nchi hii
Leo nilitoka nikapanda usafiri wa umma ni muda sana sijapanda daladala
Kumbe nauli zimepanda kiasi hiki😢
Halafu mnaimba kuwa anaupiga mwingi kweli kizimkazi anawanyoosha
Watanganyika mtajuta kumjua huyo bibi wallah nawaambia atawanyoosha...
Shime wanajanvi,
Tarehe nane inakaribia, tutaanza kulipa nauli mpya za daladala na mabasi ya mikoani. Tumeambiwa wadau walitoa maoni yao nchi nzima mimi sikuhojiwa. Ningehojiwa nisingeafiki hata kidogo, sababu ninazo lukuki tena zenye mashiko hasa kwa daladala; huduma ni mbovu mnoo, mbovu sana...
Wakati tunapambana na mfumuko wa bei kumbe sikujua hata condom nazo zimepanda bei juzi wakati nipo safari usiku ule nilivyofika bar moja nimekunywa wakati naondoka zangu kulikuwa kuna mrembo nilimuomba kampani akakubali usiku ule nilinunua kondom pakiti mbili za kutumia usiku ule na asubuhi...
Wakuuu salaaaam
Nimepata matokeo yangu ya UE nimesikitishwa. Kwa upangiliaji wa grade hizi sababu nilidhania A inaanzia 70 kumbe sio hapa chini ni muongozo wa grade hizo
A - 75 - 100
B+ - 65 - 74
B - 60 - 64
C - 50 - 59
D - 40 - 49
F / sup - below 40
Hii ni haki kweli wamangu by the way nina...
Ningependa kupewa ufafanuzi wa kiuchumi ni hali ipi huwa ina unafuu
A. Mzunguko wa pesa kuwa mdogo ila bei za bidhaa / huduma ni kawaida.
Awamu hii ilisifika kwa msemo maarufu vyuma vimekaza, mzunguko wa pesa ulipungua kwa sababu biashara nyingi zilifufungwa ama kusua sua, hakukuwa na ongezeko...
Habari za leo marafiki, vijana wenzangu, wakubwa wangu na maboss zangu,
Naomba tushiriki huu majadala kwa kupiga kura ikiwezekana tutolee na maelezo.
Karibuni
Wapenzi wenzangu wa kinywaji kizuri cha beer, tumeingiliwa, beer zetu pendwa kwa bei elekezi zimeanza kupanda kinyemela, Serengeti Lite sasa inauzwa Tsh. 2000 kutoka Tsh 1500, hii siyo fair.
Kwanza hakuna sababu za msingi, tumlaumu nani, serikali au viwanda? Maana vinapata faida kubwa tu hata...
Wanachi wataumia sana, hawana mtetezi.
👇
Nipashe ilitembelea maeneo mbalimbali ya Dar es Salam na kubaini kupanda bei za bidhaa zinazotumiwa na kwa mlo wa kila siku ambazo ni mchele, maharagwe, unga wa ngano, unga wa sembe, dona na choroko.
Mchele kilo moja umepanda kutoka sh. 1,800 au 2,000...
Ndani ya kipindi kifupi gharama ya bando/bundle ya internet imepanda kwa zaidi ya 45%.
Sisi watumiaji wa Vodacom tulikua tunanunua kifurushi cha Mwezi kwa shilingi elfu 50 na kupata GB 50.
Haikukaa muda kifurushi kikapanda gharama badala ya kupata GB 50 tukapewa GB 37. Mwezi March/April...
Katika hali ya kushangaza mpaka tambi nazo wamechakachua. Kabla kulikuwa na tambi 450 kwenye pakiti moja Leo nimehasabu nimukuta tambi 410 yaani pungufu ya tambi 40.
Watanzania tushtukeni na jitahidi kuhesabu vitu kabla ya matumizi Kama viberiti na tambi.
Kuna shangwe kuhusu tamko la serikali kuongeza mshahara 23.3% wakati ambao nauli ya bajaji na daladala na bajaji imepanda kutoka sh 500 hadi 800 sawa na 60%.
Taifa Digital Forum imefanya ufuatiliaji wa kina juu ya ongezeko la Bei ya Mafuta ya Nishati Nchini na kubaini kuwa katika kupindi cha Mwezi Machi 2022, bei ya mafuta ghafi katika soko la dunia ilikuwa ni ya juu zaidi ikilinganishwa na bei za miaka 14 iliyopita.
Hali hiyo imesababishwa na...
hizi bei zimeanza kutuchoma kama pasi wenye vipato vya kawaida
hali ipo vipi kwa Kenyatta huko?
Petrol 3,148 tshs / 157.66 kshs >>> 3,361 tshs / 168.3 kshs
Disel 3,258 tshs / 163.2 kshs >>> 3,390 tshs / 169.78 kshs
Nauli za bajaj tayari zimepanda kutoka 500 mpaka 1,000/=
Na hakuna ufafanuzi wowote.
Jana natoka zangu mishe naambiwa nauli 1000 badala ya 500.
Hii siyo haki.
Soda Tsh 600 badala ya 500
Maji ya Hill/Uhai 600 badala ya 500
Mafuta alizeti lita 5, 39,000/= badala ya 22,000/=
Nondo milimita 10, 20,000/= badala ya 12,500/=
Alizeti ya Singida inaathiriwa vipi na vita ya Ukraine? Mafuta ya Arizeti yapo kwenye magodown ya wahindi wanabana ili wacheze na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.