Natumai wote n wazima wa afya…
Nisiwachoshe ndugu zangu naomba kufahamu hizi gari zinashida gani?
Subaru impreza , 4th Generation year 2012 - 2016. wengine hupenda kuziita impreza new model..
Hizi gari kwa haraka haraka zimependelewa sn, kuanzia interior mpaka exterior… yani ni mikebe haswaa...