zinazotumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    KWELI Kukimbia au kufanya Mazoezi katika Barabara zinazotumiwa na Vyombo vya Moto ni hatari kwa Afya

    Licha ya kuwa Mazoezi husaidia kujenga na kulinda Afya, kuna masuala muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza mazoezi ikiwemo kuchagua eneo la kufanyia mazoezi ambalo litakuwa salama kimiundombinu na kimazingira. Katika siku za hivi karibuni watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi...
  2. Da'Vinci

    Ulishawahi kufikiria kitu halafu ukakikuta kwenye Mitandao ya kijamii?

    Binafsi sio mshabiki wa mpira kabisa ila 2022 mwishoni nilianza kuahabikia timu ya Yanga, nikajikuta die hard fan. Kombe la dunia lilipoanza nikawa naangalia maramoja moja, siku moja nikasearch Google ratiba ya mechi nikaangalia, baada ya muda usiku nikaingia FB nikaona Meme inayohusu mpira...
  3. cupvich

    SoC02 Bei za vyakula na vinywaji katika hoteli zinazotumiwa na wasafiri mikoani si sawa waungwana wenzangu!

    Je, umewahi kusafiri safari ya umbali mrefu mfano kutoka Dar es salaam hadi Mwanza? Safari iliyokulazimu upite sehemu zinazotoa huduma ya chakula na vinywaji kwa wasafiri ili uweze kupata chochote kitakachopoza njaa yako? Na je ulinunua Chakula au kinywaji? Kama jibu lako ni ndio leo utakuwa...
  4. R

    Mbinu 10 zinazotumiwa na CCM kulinda madaraka

    1. Kesi za kubumba kama vile ugaidi, uhaini, kukamatwa na madawa ya kulevya, uhujumu uchumi n.k. 2. Kufunga watu bila kesi zenye mashiko (detention without trial - kumbuka mashehe wa Zanzibar); 3. Makosa ya mtandaoni na faini kubwa kubwa. TCRA ni agent wao mkubwa wa ukandamizaji. 4. Kutangaza...
  5. Erythrocyte

    ATCL ni vema mkatuonesha risiti za malipo ya kukodi ndege za umma zinazotumiwa na Katibu Mkuu wa CCM

    Katibu Mkuu wa CCM ameonekana Zanzibar na kwingineko katika ziara za chama chake, ameonekana akitumia usafiri wa ndege za ATCL ambalo ni shirika la umma. Sasa ili kuondoa minong'ono ya chini chini iliyoanza kusikika kwamba ANATUMIA NDEGE HIZO BILA KULIPA CHOCHOTE , Ni vema basi shirika hilo...
  6. EINSTEIN112

    Zifahamu sumu zinazotumiwa na majasusi kuua watu

    Mnamo agosti tarehe 20 mwaka wa 2020, kiongozi wa Upinzani wa Urusi na mwanaharakati wa kupambana na ufisadi Alexei Navalny aliwekeea sumu ya kulemaza neva kwa jina Novichok na kukimbizwa akiwa hospitalini katika hali mbaya . Uchunguzi ulionyesha kupatikana kwa smu hiyo katika damu yake na hilo...
Back
Top Bottom