Nawashangaa sana wamalawi, yani karibia kila siku ajenda kuu za kimataifa lazima wagusie ziwa Malawi / Nyasa.
Mpaka wa kusini wa Ziwa Nyasa na Msumbiji uliwekwa kupitia mikataba kati ya Uingereza na Ureno, ambayo iligawa mpaka wa ziwa katikati.
Hata hivyo, mpaka kati ya Tanzania na Malawi...
Rais wa Mexico ameilalamikia kampuni ya Google kwa kuibadili jina ghuba ya Mexico na kuiita Ghuba ya America. Huu ni mwendelezo wa makampuni ya kibeberu kujaribu kubadili ramani ya dunia bila kushirikisha wadau.
Hivi karibuni, kampuni hiyo ya kibeberu ilibeba mzega mzega ziwa lote la Nyasa na...
Wadau, hii mada ishajadiliwa sana baada ya serikali kutoa tamko kwamba Malawi inafunza watoto kupitia ramani za google ambazo zinaonesha ambazo zinaonesha ziwa lote ni milki ya Malawi.
Ukweli ni kwamba ramani zote za Google (map & earth) hazioneshi hivyo.
Mpaka wa ziwa Nyasa kati ya Malawi na...
Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo...
Mabeberu naona kama wanawashwa washwa, kupitia shirika lao la kibeberu, wametoa ramani inayoonyesha eti ziwa lote ni mali ya Malawi.
Hongera Wizara ya Elimu kwa kutoa muongozo. Tunasubiri Wizara ya Mambo ya nje ipeleke official complaint kwa hawa nyamaume.
Safari ya Nyasa hiyo unaambiwa Mzee Mpili anaenda kufanya jambo huko, Kesho kazi ipo😁🙌
Vipi mambo yatalipa kwa timu ya wananchi Yanga mbele ya watani zao Simba? Tusubiri tuone bandugu.
Soma Pia:
Kamanda Jumanne Muliro atoa tahadhari watakaoenda kwenye dabi ya Simba na Yanga kudumisha amani na...
Leo hii ziwa Nyasa (Sumbi) kumechufuka ni balaa! Ziwa halisafiriki! Mawimbi ni makumbwa sana. Hakuna chombo kuingia ziwani ni hatari hata kukaa pwani ya ziwa, mbona TMA hamkuweza kututaarifu mapema.
Malawi questions Tanzania on port
Malawi has faulted Tanzania for embarking on a project to upgrade and expand Mbamba Bay Port on Lake Malawi without seeking consent as the lake boundary dispute between the two countries remains unresolved
In a confidential diplomatic note dated February 2...
Tanzania [emoji1241] ni moja kati ya Nchi zilizobarikiwa kwa rasilimali nyingi na ardhi nzuri Duniani.
Miongoni mwa rasilimali tulizonazo ni Maziwa Makuu ambayo ni Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa (Likifahamika kidunia kama Ziwa Malawi) na mengine kama Ziwa Rukwa, Ziwa Eyasi, Ziwa...
Huu mgogoro ulifikia wapi mpaka leo, maana ramani zinaonesha ni ziwa malawi na sio ziwa nyasa? Na mipaka inaonesha utakiwi kugusa hata maji.
Je, kanuni gani mpaka sasa na solution ipi imechukuliwa?
Habari wadau,
Habari njema kwa Tanzania ni kwamba, imefanikiwa kugundua Gas nyingine ya Helium Kaskazini ya Bonde la Ziwa Nyasa eneo la Matema wilaya ya Kyela mkoani Mbeya.
Kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa na jarida la The Business Wiz likinukuu kampuni ya Helium One iliyokuwa inafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.