ziwa tanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    Tanesco wa Ziwa Tanganyika

    Leo kwenye pitapita zangu nikakutana na huyu mwamba! Jina lake limenipotea ila nimepata kusikia watu wakimuita TANESCO wa Ziwa Tanganyika. Wanadai anachezesha shoti za umeme hatari! Je ni kweli kuwa huyu samaki sio wa kumgusa ovyo kama unavyomgusa Sato ama Sangara?
  2. Ojuolegbha

    Zoezi la kusitisha uvuvi kwa muda katika ziwa Tanganyika limeongeza uzalishaji wa samaki kutoka tani 4,700 mwaka 2023 hadi zaidi ya tani 15,000 mwaka

    Zoezi la kusitisha uvuvi kwa muda katika ziwa Tanganyika limeongeza uzalishaji wa samaki kutoka tani 4,700 mwaka 2023 hadi zaidi ya tani 15,000 mwaka 2024, likitoa fursa za ajira na viwanda vya kuchakata samaki kuongeza uzalishaji. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  3. Magical power

    Hii imetokea katika Ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma. Mliosoma Geography, hii inamaana gani?

    Hii imetokea katika Ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma Mliosoma Geography 🗺️🌏📗 hii inamaana Gani? i?
  4. T

    KWELI Hiki ni Kimbunga cha Maji

    Nmeona mtu ametuma picha zikionesha kama moshi mrefu juu ya maji huku akiyaita ni maajabu lakini watu wamekuwa wakisema hiyo ni hali ya kawaida kwa kuwa hiko ni kimbuga cha maji, Je uhalisia upoje?
  5. Roving Journalist

    Sasa maji ya Ziwa Tanganyika kutumika kwa wananchi wa Jimbo la Kavu Wilaya ya Mpibwe Mkoani Katavi

    SEKTA YA MAJI YABAINISHA DHAMIRA YA KUTUMIA MAJI YA ZIWA TANGANYIKA MKOA WA KATAVI Mpwimbe-Katavi Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amesema Serikali imeshatangaza tenda kwa ajili ya kumpata mhandisi mshauri atakayefanya tathmini ya kutoa maji ya Ziwa Tanganyika yaweze kutumika kwa wananchi wa...
  6. JanguKamaJangu

    Zaidi ya Tsh. Bilioni 30 zimetumika kuboresha Bandari ya Ujiji lakini inamezwa na maji, hali ni mbaya

    Miaka ya hivi karibuni Serikali ilitangaza kuanza kufanya maboresho ya Bandari ya Ujiji, sina uhakika na kiwango lakini niliona taarifa ya Serikali kuwa inatarajiwa kutumiwa Shilingi Bilioni 32.5 kuboresha bandari hiyo na nyingine ya Kibirizi ambazo zote zipo maeneo Jirani. Mradi huo wa bandari...
  7. Roving Journalist

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi Mradi wa ujenzi Makao Makuu ya Bandari ya Ziwa Tanganyika, Oktoba 18, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Bandari za Ziwa Tanganyika (Kibirizi na Ujiji)...
  8. B

    Serikali inatufilisi vijana mliosema tujiajiri Waziri kafungia Ziwa Tanganyika wakati sisi hatuvui samaki wa mboga

    Habari za muda huu Rais Samia, nakupongeza kwa uongozi wako kama Mama wa Taifa letu, huku ukidumisha nafasi yako kama Rais. Rais Samia, mimi ni mmoja wa vijana wachache tuliojiajiri na tunachangia pato kubwa kwa Taifa letu la Tanzania. Hivi sasa tunakutana na changamoto kubwa sana. Mheshimiwa...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Assa Makanika aishauri Serikali kuangalia upya sheria ya vipimo vya habatani katika ziwa Tanganyika (Kigoma) ili kuondoa urasimu mkubwa uliopo

    "Ifahamike mpaka sasa tunaposimama kama Wabunge wa Mkoa wa Kigoma bado mahitaji yetu hayajatekelezwa ndiyo maana tunasimama kukumbusha na kuieleza Serikali sikivu ili iweze kufahamu namna gani watu wa Kigoma tunahitaji. Mikoa yote ya Tanzania imekwisha kuunganishwa kwa Barabara za Lami, imebaki...
  10. MSAGA SUMU

    90% ya Watanzania hawafahamu kama ziwa Tanganyika kuna Submarine kubwa sana

    Kama sio mfuatiliaji wa mambo au mvuvi unayefika kina kirefu ndani ya ziwa Tanganyika huwezi kujua hii inshu. Siku moja saa 8 usiku tulikuwa tuko katikati tunarekebisha nyavu, tukakutana na submarine nadhani walikuwa wanajaza mafuta. Ilikuwa ni kubwa sana japo kuwa asilimia kubwa ya chombo...
  11. Jamesdominic

    Tutatumia ziwa Tanganyika kwenye umwagiliaji

    "Baada ya Bunge la bajeti kukamilika tunatarajia kuanza kuyatumia maji ya ziwa Tanganyika katika shughuli za kilimo na uzuri mitambo tunayo naamini Jambo hili litafanikiwa" - Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo Tanzania Waziri Bashe pia amebainisha kuwa mikakati ya serikali ni kuanza kutumia maji...
  12. Mhaya

    Tanzania ni nchi yenye maziwa makuu mengi barani Afrika, kwanini bado kuna shida ya maji hususani kwenye mikoa inayozungukwa na maziwa hayo?

    Tanzania [emoji1241] ni moja kati ya Nchi zilizobarikiwa kwa rasilimali nyingi na ardhi nzuri Duniani. Miongoni mwa rasilimali tulizonazo ni Maziwa Makuu ambayo ni Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa (Likifahamika kidunia kama Ziwa Malawi) na mengine kama Ziwa Rukwa, Ziwa Eyasi, Ziwa...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Uzi maalumu wa Mashujaa wa ziwa Tanganyika, Mashujaa FC

    Hii ndio timu pekee inayoshiriki ligivkuu kutoka mkoani Kigoma. Mashujaa FC ni timu inayomilikiwa na Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ, na msimu huu 2023/2024 wamepanda daraja baada ya kuifunga timu ya soka ya Mbeya City Fc kwenye mechi zote mbili. Mpaka sasa Mashujaa FC IMECHEZA mechi tatu...
  14. Kigoma Region Tanzania

    Ndubu ni samaki wa ajabu anayepatikana Ziwa Tanganyika

    Samaki huyo mwenye mpomo au Komwe jina lake anaitwa NDUBU, ni samaki mwenye kuvutia kwa macho anapendeza mno akiwa kwenye maji. Samaki huyu ni moja ya kivutio cha watalii katika ziwa letu Tanganyika. Hutumika kama samaki wa kuliwa ni mtamu sana na mwenye ladha nzuri na pia hutumika kama samaki...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Meli yazama ziwa Tanganyika na kuua wawili

    Wawili wafariki kwa ajali ya Meli ndani ya ziwa Tanganyika. Watu wawili akiwemo kapteni wa MV. Tanganyika wamefariki kwenye ajali ambayo imetokea usiku wa tarehe 16 juni 2023 Meli hiyo ambayo ilikua ikitokea Kigoma nchini Tanzania kuelekea Kalemi nchini RDC ikiwa na mzigo wa mafuta ya petroli...
  16. Justine Marack

    Uovu ziwa Tanganyika. Lifungwe haraka

    Kabla ya utekelezaji wa mkataba wa kufunga Ziwa Tanganyika, lazima tuyajue mambo kadhaa Kwa uhalisia wake. Mwambao mwa ziwa Tanganyika mkoani Kigoma kuanzia Kata ya Kagunga( Mpakani) Mpaka Kata ya Kalya Kigoma kusini hapo ndipo utakuta makundi ya wahamiaji/ wavuvi Haramu kutoka Burundi na...
  17. Lady Whistledown

    UPDATE: Serikali yaahirisha kufungwa kwa Ziwa Tanganyika

    Zikiwa zimebaki siku 10 kabla ya Tanzania kuanza kutekeleza makubaliano ya kusimamisha shughuli za uvuvi katika Ziwa Tanganyika kwa Miezi 3, Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema Serikali imesitisha zoezi hilo ili kuruhusu ushirikishwaji wa Wananchi na kupatikana kwa...
Back
Top Bottom