ziwa

Ziwa is an archaeological site in Nyanga District, Zimbabwe, containing the remains of a vast late Iron Age agricultural settlement dated to the 15th century. Ziwa was declared a National Monument in 1946 and is currently under consideration for World Heritage listing. The site contains a large variety of stonework structures including stone terraces running along contours of hills and steep landscapes. Archaeological investigations have also uncovered important aspects of pottery and rock art.
Before the declaration of the site as a National Monument, Ziwa had been part of the commercial farms area and was thus under private ownership. A great deal of damage or degradation of antiquities may have been wrought during this period as the farmer used the property as a cattle ranch. Currently a site museum (with tourist facilities such as camping, guided tours, walking trails, bird viewing, etc.) has been established to represent the Ziwa heritage and other archaeological sites in the Nyanga district.
Despite the abandonment of the site by its inhabitants in the 18th Century, Ziwa continued to be of significance to the later communities that settled in its neighbourhood.

View More On Wikipedia.org
  1. TANESCO yatangaza maboresho ya Mita za LUKU, soma ujue jinsi ya kuingiza Token upya kuanzia Juni 1, 2024

    MABORESHO YA MITA ZA LUKU KWA WATEJA WA TANESCO KANDA YA ZIWA NA KANDA YA MAGHARIBI Jumatatu, 27 Mei 2024 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa mikoa ya Mwanza, Kagera, Mara, Geita, Simiyu, Tabora, Katavi na Shinyanga kuwa zoezi la maboresho ya mfumo wa LUKU litaanza...
  2. H

    SoC04 Uvuvi ni hazina ya ajira kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa na Tanzania yote

    Uvuvi ni chanzo cha ajira pia ni chanzo Bora cha kitoweo kama ilivyo ufugaji hasa kwa hapa Tanzania. Ili uvuvi ulete Tija na mtokeo ya kueleweka sana ndani ya taifa ni vizuri kama taifa likaanza kuingiza mikakati Bora kama ifuatavyo hasa Kwa wakazi wa Kanda ya ziwa hasa vijana wa maeneo hayo...
  3. R

    Hivi tumeshindwa kumbaini aliyepandikiza magugu ziwa Viktoria ayaondoe Kwa gharama zake?

    Salaam, Shalom!! Nilipokuwa katika ziara ya Utalii wa ndani, nimekumbana na kero hii ya magugu maji ziwa NYANZA. Ziwa NYANZA lilikua ziwa la kuvutia sana. Wataalam wasema, haya magugu ziwa NYANZA hayakuwepo miaka ya nyuma, ni mradi umetokea miaka ya hivi karibuni, Serikali na wanavijiji...
  4. Wanaume wa Kanda ya ziwa, enyi wanawake jaribu kutuelewa

    Nimeona nitoe tahadhari, Tanzania ni kubwa na tamaduni tofauti. Kwa kilichotokea huko Goba, Dar kiwe funzo Kwa wanawake wa mjini kujia tamaduni za wanaume ngangari na wagumu hasa kutoka Kanda ya ziwa. Mwanaume wa Kanda ya ziwa huwezi kumwita majina yenu ya danga, yaani mtu wa Geita, Mara...
  5. 90% ya Watanzania hawafahamu kama ziwa Tanganyika kuna Submarine kubwa sana

    Kama sio mfuatiliaji wa mambo au mvuvi unayefika kina kirefu ndani ya ziwa Tanganyika huwezi kujua hii inshu. Siku moja saa 8 usiku tulikuwa tuko katikati tunarekebisha nyavu, tukakutana na submarine nadhani walikuwa wanajaza mafuta. Ilikuwa ni kubwa sana japo kuwa asilimia kubwa ya chombo...
  6. Je, jehanamu ziwa la moto na adhabu za huko ni za milele au sio za milele?

    Wana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA,
  7. Mafuriko yaukumba Mji wa Bukoba, Mkoani Kagera

    Mafuriko yatikisa Bukoba, binti afariki dunia kwa kusombwa na maji Ijumaa, Mei 10, 2024 Baadhi ya maeneo yaliyokumbwa na mafuriko Manispaa ya Bukoba. Muktasari: Msichana aliyebainika kuwa mkazi wa Mtaa wa Kasarani Kata ya Bakoba, amefariki dunia baada ya kusombwa na maji wakati akitoka nje...
  8. Asilimia kubwa ya wanawake/ wasichana wa kanda ya ziwa wana chale mwilini

    Unatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa dawa. Hii kitu nawezw kusema ni asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wa kanda ya ziwa,bila kujali kabila...
  9. R

    Maji ya ziwa Viktoria yavamia makazi Lamadi, kaya 400 hazina pa kwenda

    Salaam,shalom, Mvua kubwa zilizonyesha nchini zimeanza kuleta madhara makubwa Kwa nyumba na makazi ya watu waishio kandokando mwa ziwa Hilo. Imeripotiwa kuwa, kaya zaidi ya 400 hazina makazi wilayani Busega, Lamadi kutokana na maji ya ziwa kuongezeka na kufunika ardhi MITA Hadi SITA kuja juu...
  10. Ziwa Victoria limeongezeka, maji yamekuwa mengi sana

    Yasadikika ziwa Victoria limeongezeka maji, Kutokana na hizi Mvua za mfululizo, kudhiirisha ayo maeneo ya pembezoni mwa ziwa maharufu kwa jina la miyalo yote yamemezwa na maji na maeneo mengine km Apa mwanza Barabara inayopitia kwenye jiwe la Bismarck pamoja na ile bustani yote ipo ndani ya...
  11. SoC04 Tulitunze Ziwa Victoria kwa maendeleo endelevu

    Ziwa Victoria, ziwa kubwa zaidi la maji baridi barani Afrika na ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya , linatumika kama mshipa muhimu kwa Tanzania. Eneo lake kubwa la maji hutoa manufaa mengi, yanayoathiri mazingira, uchumi, na jamii kwa ujumla. Insha hii inahoji kuwa Ziwa Viktoria si sifa ya...
  12. SoC04 Uchimbaji wa Mawe Kanda ya Ziwa Kuwa Mchango Mkubwa Katika Ujenzi wa Miundombinu

    Kanda ya Ziwa katika eneo la Afrika Mashariki, ambayo inajumuisha maziwa makubwa kama Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, na maziwa mengine madogo, ina utajiri wa rasilimali za jiolojia, ikiwa ni pamoja na aina mbalimbali za mawe. Kanda ya Ziwa ni eneo lenye umri wa kijiolojia wa...
  13. Tutatumia ziwa Tanganyika kwenye umwagiliaji

    "Baada ya Bunge la bajeti kukamilika tunatarajia kuanza kuyatumia maji ya ziwa Tanganyika katika shughuli za kilimo na uzuri mitambo tunayo naamini Jambo hili litafanikiwa" - Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo Tanzania Waziri Bashe pia amebainisha kuwa mikakati ya serikali ni kuanza kutumia maji...
  14. Ufahamu wa ziwa victoria kuongezeka kwa kasi

    Ziwa Victoria ni ziwa kubwa zaidi katika Afrika na la pili kubwa duniani. Liopo katikati mwa bara la Afrika, likigawanyika kati ya nchi za Uganda, Tanzania, na Kenya. Ziwa hili lina umuhimu mkubwa kwa maisha na uchumi wa eneo hilo, likiwa chanzo muhimu cha maji, samaki, na vyanzo vingine vya...
  15. A

    Serikali ya Tanzania na Malawi waharakishe Kutatua suala la ziwa Nyasa

    Malawi questions Tanzania on port Malawi has faulted Tanzania for embarking on a project to upgrade and expand Mbamba Bay Port on Lake Malawi without seeking consent as the lake boundary dispute between the two countries remains unresolved In a confidential diplomatic note dated February 2...
  16. Nimepigwa na kufungiwa ndani ya nyumba na mke wangu

    Wakuu samahanini kwa mada zangu za kuhusu mapenzi aisee ila kusema za ukweli mapenzi yananiumiza sana hivi wanaume wenzangu mnafanyeje ili kukabiliana na hali hii? Sasa leo wakuu nimepigwa na kufungiwa ndani na mke wangu aisee, kisa cha kunipiga ni kumuuliza kwanini unachelewa kuamka na kwanini...
  17. Lake Nyasa/Malawi walishalichukua Ziwa lao? Ni kama tumepokonywa au tumeliacha?

    Ukiangalia kwenye ramani unaona kabisa kuwa hili tumelimega sisi wenyewe pia. Linganisha na Ziwa Tanganyika ramani ilipopita. Kisha njoo Ziwa Nyasa. Unaona tofauti? Je hii haimaanishi Malawi wapo sahihi kusema lote ni lao na ushahidi huu hapa ramanini?
  18. Wajaluo wakimbeba John Hanning Speke kumpeleka lilipo Ziwa Victoria ili aligundue

    Wajaluo wakimbeba John Hanning Speke kumpeleka lilipo Ziwa Victoria ili aligundue.
  19. Najuta kuoa mwanamke kutoka kanda ya ziwa, aisee najuta indeed!

    Kwanza vijana ambao hamjaoa please ukitaka kuoa jaribu kuoa karibu na zone.yenu au nyumbani kwenu kabisa kuliko.kuoa.far away na.pia ukitaka kuoa mwanamke sahihi ni mwenye hofu ya mungu kabisa aisee Yamenikuta nilioa mwanamke kutoka kanda ya.ziwa.huko.wale.waupeee na wanao nyoa fanki wale aisee...
  20. RC Mwassa Awasihi Wananchi Kutochafua Ziwa Victoria Walilinde kwa Wivu Mkubwa

    RC MWASSA AWASIHI WANANCHI KUTOCHAFUA ZIWA VICTORIA WALILINDE KWA WIVU MKUBWA Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Hajat Fatma Mwassa amewataka Wananchi na wadau wa usafirishaji wanaofanya shughuli ndani ya Ziwa Victoria, kutofanya yale yote yanayoweza Kuathiri au kusababisha uchafuzi wa Ziwa Victoria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…