Nilikuwa najiuliza yapo wapi magari yenye Namba C maana kule Dar es Salaam hayaonekani. Miaka ile jiji zima lilikuwa na hayo magari lakini siku hizi hayapo.
Baada ya kutembea Kahama, Maswa, Meatu, Kwimba, Mwanza, Geita, Sengerema, Ukerewe, Chato, Bukoba, Magu, Bunda, Busega, Musoma na Tarime...