zoezi la uokoaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia: Jengo la Kariakoo kulikuwa na mchanga mwingi kuliko nondo na saruji

    Rais Samia kushiriki chakula cha mchana na walioshiriki zoezi la uokoaji kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo leo Januari 30, 2025. https://www.youtube.com/live/LgA_7LztiWs?si=pYPP89J1A45x_7MG Kuhusu tukio la ghorofa kuporomoka soma hapa: Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu...
  2. Vifo Kariakoo vyafikia 29, zoezi la uokoaji lafikia tamati

    Idadi ya vifo vilivyotokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa, Kariakoo jijini Dar es Salaam vimefikia 29, baada ya miili mingine tisa kupatikana. Jengo hilo liliporomoka asubuhi ya Jumamosi Novemba 16, 2024 na kusababisha vifo, majeruhi zaidi ya 80 na uharibifu wa mali za mamilioni ya fedha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…