zorro

  1. Mashamba Makubwa Nalima

    Banana Zorro - Bado Kidogo

    https://youtu.be/xZIpD10kjbs?si=az9o6w-wjTynf73m
  2. Seawhale

    Wimbo wa Wiki: Saida Karoli ft Banana Zorro - Mpenzi Nakupenda

    Kiitikio(pamoja) Mpenzi nakupendaa, namii nakupenda, ujue nakupenda nimekukubali… Mpenzi nakupenda, namii nakupenda, ujue nakupenda na mimi nakubalii Saida Mpenzi nakupenda, penzi sio kila mtu, mpenzi nakupenda penzi ndio uamuzi wa mtu. Banana Na mimi nashukuru mama, unajua hilo Saida...
  3. Interest

    Familia ya mzee Zahir Zorro 'ilivyomuokoa' Nzela

    Kuna mambo mengi sana siku hizi yanakosekana kwenye tasnia ya burudani Tanzania. Naamini mambo yamekuwa feki sana kiasi kwamba kuna utamu na uchungu wa kisanaa tunaukosa. Au nimezeeka? Miongoni mwa mambo tuliyofaidi miaka 10 kurudi nyuma kwenye tasnia hii pendwa ya vijana ni wasanii kutugusa...
  4. Teko Modise

    Zahir Zorro ni dini gani?

    Hii familia ya mzee Zahir Zorro ni waumini wa dini gani? Nimeshangaa huu msiba wa Maunda unavyoendeshwa!!
  5. BigTall

    (Picha) Kuelekea maziko ya Maunda Zorro, matukio ya msibani Kigamboni

    Picha mbalimbali kuhusu msiba wa Maunda Zorro ambapo watu mbalimbali wamejitokeza kwa ajili ya kumsindikiza Mwimbaji huyu kwenye siku yake hii ya kuzikwa Aprili 16, 2022. Baba Mzazi wa Mwimbaji Maunda Zorro ameomba kumwimbia mwanae Maunda msibani kama ishara ya kumuaga, Maunda amefariki akiwa...
  6. captain dunga

    TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

    Mwanamuziki Maunda Zorro, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (Alhamis ya April 14) baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la mchanga huko Kigamboni, Dar es Salaam. Maunda Zorro ni mtoto wa muimbaji nguli wa muziki Zahir Ally Zorro pia ni mdogo wa...
Back
Top Bottom