zte

  1. Njunwa Wamavoko

    Niuzie Modem ya Huawei au ZTE

    Habari wana Jukwaa. Nina project ambayo inaitaji USB modem, yoyote kati ya hizi kampuni tajwa hapa chini: Huawei ZTE Najua teknolojia ya modem imeenda ina phase out kwenye nchi yetu, kutokana na kwamba kwa sasa kuna MiFi router ambazo unaweza kuzipata mpaka kwa 50,000/= Hivo kama kipindi...
  2. Nyamwage

    ZTE AXON 40 ULTRA haina protection

    Hawa mabwana waliwaza nini kuachia flagship kali kama hii bila kuweka protection kwenye display mfano protection ya gorilla glass na hata ile ya IP water resistant haina au ni GSM arena ndio wamesahau kuandika hizo protection
  3. Mr Q

    Naomba kujua upatikanaji wa ZTE AXON 40 Ultra na bei zake

    Kwa hapa nchini. Au mpaka kuagiza? Naona features&specifications zimenivutia. Screen kubwa 6.8 Battery kubwa 5000 (japo charger watts ndogo) Storage na RAM Muundo wake unavutia. Nn.k Sasa naomba mnijuze bei yake upatinanaji wake kwa hapa nchini
  4. e2themiza

    Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    Pata kujua jinsi watu wanavyounlock modem unakaribishwa kwa maswali na utasaidiwa. BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU JAMBO HILI --- --- === UFAFANUZI WA JUMLA WA NAMNA YA KUFANYA JAMBO HILI A. Jinsi ya kuunlock modem ya E303s-1 Kwa njia hii utaweza kuunlock modem zote za...
Back
Top Bottom