Mimi ni shabiki wa Zuchu kwa kiasi fulani...
Kuna huu wimbo wake mpya unaitwa "antenna" nimeusikia sikia huko mitaani nikasema ngoja nitafute video niangalie.
Aisee, kwenye ile video ameweka picha za kutisha sana, kuna sehemu amejiweka kama jini/pepo anafanya vitu vya ajabu ajabu, video...