Wakuu,
Kwa ujumbe tutegemee kuwa na harusi ya taifa hivi karibuni.
Diamond kafa kaoza kwa Zuchu, huu hapa ujumbe wake kwa mpenzi wake katika siku hii ya Wapendanao
Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa mwezi ujao kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhan anamuoa Zuchu.
Soma: Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na Ukandamizaji, kuiburuza mahakamani Wasafi FM
Diamond Platnumz amepinga na Nandy kabisa kuonyesha kuwa...
Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu, ameandika barua ya wazi kwa Diamond Platnumz akilalamikia unyanyasaji wa mara kwa mara kutoka kwa taasisi yake Wasafi FM, kupitia maudhui ya kipindi cha Mashamsham.
Zuchu amesema maudhui hayo yameathiri sanaa na afya yake ya akili, licha ya uwekezaji mkubwa wa...
Wakuu.
Ni wazi kuwa tangu mwaka huu uanze Zuchu hana any solid projects kwenye catalogue.
Nyimbo zote ambazo amekuwa akitoa, zinahit kidogo Tiktok, baada ya mwezi zinapotea.
Hii taarifa yake kwamba ameachana na Diamond its an obvious showbiz prank ili kuteka attention ya mashabiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.