zuhura yunus

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Madereva watakiwa kuzingatia tija, ufanisi katika utendaji wao

    Na Mwandishi wetu - Dar es salaam. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Zuhura Yunus, amewataka Madereva kuzingatia tija na ufanisi katika utendaji kazi wao ili kuhakikisha jamii inafanya kazi za kiuchumi kwa usalama na muda muafaka, hivyo kukuza uchumi...
  2. L

    Rais Samia Amuapisha Zuhura Yunusi kuwa Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Hii leo June 13 Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, Akiwa katika Ikulu ya Chamwino Dodoma amefanya uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua siku chache zilizopita.Uteuzi ambao uliteka mijada mbalimbali ya kisiasa hapa...
  3. Ex Spy

    Bakari Machumu anafaa kumrithi Zuhura Yunus si vinginevyo

    Bakari Machumu - Mkurugenzi Mtendaji Mwanachi Communication Limited Bakari kwa muda mrefu amekuwa mtu wa watu, mwenye kuielewa tasnia ya habari na zaidi ni kiongozi ambaye ana haiba ya uongozi. Wasifu wake unajitosheleza tofauti na wengi ambao wakipewa nafasi hii possibility ya kuboronga ni...
  4. J

    Vigogo 3 kufukuzwa Ikulu kwa wakati mmoja ina maana gani?

    VIGOGO watatu ambao ni watu wa Karibu sana na Rais Samia wote wamefurushwa Ikulu siku ya jana ambao ni Mshauri wa Rais Sheria, Mshauri wa Rais Siasa na Mshauri wa Rais Habari na Mawasiliano. Uamuzi huu mgumu huenda kuna jambo kubwa tusilolijua hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa 2025...
  5. K

    President Samia reshuffled her inner circle by removing four of her aides. What's happening in the President's Office?

    President Samia Suluhu Hassan has reshuffled her inner circle by transferring four members of the presidential office to other government positions. The changes, announced by the office of the Chief Secretary yesterday, affect the President's Private Office (OBR). Zuhura Yunus, the Director of...
  6. J

    Maulid Kitenge: Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya, haiwezekani tukio litokee Korea na nyie mko huko lakini msilitolee Ufafanuzi!

    Mwandishi nguli wa Habari za Michezo Maulid Kitenge amesema Ukweli ni lazima usemwe Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya. Kitenge amesema kwa mfano madai ya uzushi ya kuuza Bandari ilimlazimu Msemaji wa Serikali mh Matinyi ndio aannze kuhangaika kwenye media kutolea ufafanuzi wakati Kazi hiyo...
  7. A

    Nani anafaa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu baada ya Zuhura Yunus kuondolewa?

    PDF mmelishuhudia bibie Zuhra OUT. Sasa ni zamu ya Kikeke. Pia soma Lakini kusema ukweli Zuhura hakutosha ile nafasi! Kitu pekee aliongeza ni Press tu, kwenye Branding alifeli Zuhura Yunus kaboronga wapi mpaka katolewa Ikulu? Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali...
  8. Cute Wife

    Zuhura Yunus kaboronga wapi mpaka kutolewa Ikulu?

    Wakuu salama? Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu). Zuhura atakuwa kamkorofisha wapi mama mpaka katolewa Ikulu? Au ndio anapikwa kuja kuwa...
  9. Chachu Ombara

    Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

    Rais Samia afanya uteuzi na kufanya mabadiliko ya watendaji wa Serikali. --- Zuhura Yunus, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, na Felister Mdemu, aliyekuwa msaidizi wa Rais katika Maendeleo ya Jamii, ni miongoni mwa viongozi walioteuliwa kushika nafasi mpya. Petro Itozya, aliyekuwa...
  10. Roving Journalist

    Zuhura Yunus anazungumza na waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam, Juni 6, 2024

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus pamoja na viongozi wengine wa Serikali wanazungumza na waandishi wa Habari Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 6, 2024. https://www.youtube.com/live/R29ql0qn41I?si=HUvsJC1La1-T6RWb Viongozi mbalimbali pamoja na Waigizaji wakiwa kwenye...
  11. L

    Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6

    Ndugu zangu Watanzania, Taarifa inayoendelea kusambaa Duniani kwote na kugonga vichwa vya habari ,ni kuwa Rais wetu na Jemadari Wetu Daktari Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara nzito sana ya kikazi Nchini Korea ya Kusini. Ambapo huko anatarajiwa kufanya mazungumzo mazito sana na Rais...
  12. Roving Journalist

    Pre GE2025 Tanzania yaongoza kwa Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya habari kwa Afrika Mashariki

    Ripoti ya Utafiti iliyotolewa na Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) ya Mei 3, 2024 imeonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa upande wa Afrika Mashariki. Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97, Kenya...
  13. MSAGA SUMU

    Je, TV zote zimelipwa kutangaza mafanikio ya Rais?

    Mida hii kama hutaki kuangalia Ikulu Mawasiliano lakini unataka kuangalia TV za Tanzania basi hamna jinsi inabidi ukalale tu. Ikulu mawasiliano TV zote za ndani kurusha mafanikio ya mama. Yaani mama akipigwa kama amepiga na akipiga kama amepiga. Hii ni kazi nzuri ya gwiji Zuhura Yunus...
  14. Jaji Mfawidhi

    Tetesi: TBC hakukaliki, muda wowote Zuhura Yunus anakuja na mkeka!

    Tetesi zinaelekeza Salim Kikeke anaendelea kutajwa kumng'oa Ayub Rioba alijizindika pale TBC. Hii ni baada ya chombo hiki cha Wananchi kushindwa mambo mengi na kufuja fedha za umma huku Watumishi wake wengi wakijianzishia makampuni shindani na TBC. Ukichukua TIN za Watumishi utashangaa wao ndio...
  15. Roving Journalist

    Bashe: Tumewalinda vya kutosha Wafanyabiashara wa Sukari, sasa wachague kuuza au kuacha, tunabadili Sheria

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus anatarajiwa kuzungumza na Wanahabari (Wahariri na Waandishi wa Habari), Ikulu ya Dar es Salaam, leo Alhamisi Februari 22, 2024 https://www.youtube.com/watch?v=YM-aG-w-Je0 Endelea kufuatilia kitakachoendelea... Zuhura Yunus: Rais Samia...
  16. Roving Journalist

    Serikali kuleta chanjo ya lazima kwa ajili ya mifugo yote Nchini kama ilivyo kwa Magonjwa ya Binadamu

    Mkurugenzi wa Kurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus akizungumza na Vyombo vya Habari leo tarehe 15 Novemba, 2023, kuhusu ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alizozifanya nchini Morocco na Saudi Arabia...
  17. Roving Journalist

    Ummy Mwalimu: Hospitali maalum ya watoto inayoitwa Rainbow kujengwa Tanzania

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus akizungumza na Waandishi wa Habari leo tarehe 12 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/dTZZ4o97U3A?si=HNAVFRFRzHn0H5y5 Akizungumza kwenye Mkutano na waandishi wa Habari ulioandaliwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Waziri...
  18. Pang Fung Mi

    Nakukumbusha: Zuhura na Salim Kikeke walikuwa miongoni mwa waliokosoa utawala wa Magufuli wakiwa BBC Swahili

    Tafadhari sana Watanzania nawakumbusha kwa rejea ya hawa watu Zuhura Yunus na Salim Kikeke nyakati za utawala wa Ndugu Hayati Rais Magufuli hawa viumbe hawakuwa na taswira wala nafsi zenye uzalendo na upendo kwa Taifa letu, na si hivyo tu pia hawakuwahi kuwa na news contents zenye kuinua taswira...
  19. Mbute na chai

    Kiswahili cha bbc baada ya Zuhura Yunus & Salim Kikeke kuondoka

    Kwa anaye kielewa anijuze. Wakenya wanaharibu sana lugha yetu. Kurasa za mitandao ya kijamii ya bbc imegubikwa na Kishwahili kibaya sana(kisicho fasaha). Ili nalo likatazamwe!
  20. B

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu na Mkutano na Wahariri kuhusu Mkutano mkubwa wa Mifumo ya Chakula Afrika

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus leo Jumapili Septemba 03, 2023 kuanzia Saa 4 asubuhi hii anakutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari ili kuzungumzia Mkutano mkubwa wa Kimataifa unaohusu mifumo ya chakula Afrika, mkutano unaoanza keshokutwa Jumanne Septemba 05, 2023 katika...
Back
Top Bottom