VIGOGO watatu ambao ni watu wa Karibu sana na Rais Samia wote wamefurushwa Ikulu siku ya jana ambao ni Mshauri wa Rais Sheria, Mshauri wa Rais Siasa na Mshauri wa Rais Habari na Mawasiliano.
Uamuzi huu mgumu huenda kuna jambo kubwa tusilolijua hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa 2025...
Mwandishi nguli wa Habari za Michezo Maulid Kitenge amesema Ukweli ni lazima usemwe Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya.
Kitenge amesema kwa mfano madai ya uzushi ya kuuza Bandari ilimlazimu Msemaji wa Serikali mh Matinyi ndio aannze kuhangaika kwenye media kutolea ufafanuzi wakati Kazi hiyo...
Wakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu).
Zuhura atakuwa kamkorofisha wapi mama mpaka katolewa Ikulu? Au ndio anapikwa kuja kuwa...