Kuna hii poster ya CCM ambayo inasambaa kwenye mitandao ya kijamii
Kwa hiyo mikutano ya CCM ni ruksa ila kwa wapinzani nongwa?
Kwao ni ruksa?
Soma Pia: Ufafanuzi kuhusu taarifa ya mkutano wa hadhara wa Mwenezi Kihongosi, taarifa hiyo ilikuwa kabla ya zuio