Wakuu,
Kwahiyo ili kujustify zuio la mikutano ya CHADEMA mkaona mtufanyie haya maigizo ya kuzuia mkutano wa CCM!:rolleyes::rolleyes:
CCM na Polisi hivi mnafikiri wananchi hawa wa leo ndio wale wale mliozoea kuwaendesha kipuuzi kama ng'ombe miaka nenda rudi? Yaani mnakuja na mbinu za kipuuzi...
Jeshi la Polisi nchini limezuia mikutano ya hadhara ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyopangwa kufanyika wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha kuanzia Agosti 29.2024 hadi Septemba 15.2024, mikutano iliyotarajiwa kuongozwa na Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Gabriel Makala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.