zuku

  1. Trainee

    Zuku ni kampuni ya hovyo kuwahi kutokea, nimewachukia mno hawa jamaa washenzi sana!

    Usishangae wala usitahamaki maana kwa ujinga walio nao hapo sijawatukana kabisa. Nimewaita washenzi hapo ili kupunguza ukali wa maneno tu lakini nilitamani nitumie maneno zaidi ya hilo kabisa Hawa watu king'amuzi kimezingua nikawapigia kuwauliza nijue tatizo ni nini. Sasa kwa maswali...
  2. A

    INAUZWA Agiza TV accessories na kisimbuzi utafikishiwa popote ulipo.

    Tunauza na kusambaza kisimbuzi Cha Azamtv, DSTV, Startimes na Zuku. Na accessories mbalimbali: #Remote control, #Antenna Cable #HDMI ( mita moja Hadi 20) #LNB #TVstand, n.k Pia tunatoa huduma ya ufundi wa TV, kufunga dish, kufunga TV units. Tupo Makumbusho na Kimara, Dar es salaam. +255756126081
  3. The Boss

    Kutazama EPL Kwa ZUKU fiber internet

    Wataalam kama mtu ana zuku fiber unlimited ndani na anataka tazama Mpira EPL au TV zozote za nje ...inatakiwa afanyaje? Kuna mtu kaniambia lazima nitafute android TV box kwanza?ni kweli? Njia zipi za kupata channel za nje kupitia unlimited internet ndani? Hata kupata sky channels moja Kwa...
  4. mahindi hayaoti mjini

    Yaani naandika kwa uchungu sana kuhusu hawa zuku, najuta hata kulipia kifurushi cha mwezi huu

    Yaani ni kama nimetapeliwa, leo ni siku ya sita naomba kuhamishiwa huduma kwenye jengo jipya ila hayo majibu ninayopewa we acha tu Huku huduma sipati, na huku siku zinakataaa na simu hawapokei na wakipokea hiyo shombo sasa Najuuuutaaa kuwajua zuku
  5. Tomaa Mireni

    TTCL fiber ingebinafsishwa ingeipiku ZUKU fiber kwa wateja

    Kama ilivyo kwa taasisi za serikali kwa uzembe TTCL nao wamo. Nilienda 7SABA maonyesho nikakutana na maafisa nikakaribishwa vizuri na kutanfaziwa faiba mlangoni, nikaipenda. Nikaulizia taratibu nikaambiwa unajaza fomu anakuja savea na kuangalia eneo kisha unaletewa huduma. Nikauliza inaweza...
  6. U

    Je, dishi la zuku linaweza kunasa mawimbi ya king'amuzi cha Azam?

    Ndugu wajuzi njooni hapa mnielimishe! Mahali nilipo kuna upepo balaa.King'amuzi cha zuku kilishindwa muda, nikahamia StarTimes nao ni walewale! Wingu likija tu basis mawasiliano byebye! Imefikia hatua namaliza siku hakuna cha taarifa ya habari wala nini! Nimesikia azamu wakijinadi kuwa inyeshe...
  7. P

    Hivi ni kweli Zuku na Airtel hushirikiana kusumbua wateja?

    Hii itakuwa ni zaidi ya mara tano au sita kusumbuliwa na hawa jamaa, Iko hivi kin'gamuzi cha zuku kimeisha, wanakutumia msg zaidi ya kumi kwa siku wakikutaka ulipe fasta ili usikose huduma,na kwa kuzingatia siku hizi kila kitu ni internet. Unajikamua kupitia airtelmoney unalipa shs 69,000/=...
  8. mahindi hayaoti mjini

    Zuku wanajimwambafai sana? Au wameelemewa na wateja? Au ni dharau?Au jeuri?

    Yalianza jana kupitia airtel, muamala wa malipo haukufanyika Sasa leo nawapigia simu zuku ili angalau niwafahamishe kuwa nimeshalipa ni airtel ndio wanachelewesha hela yao weeeee dakika 140 zimeisha Dakika 140 zimeisha bila simu kujibiwa Na sasa hivi nipo raundi ya pili dakika 70 zimekata ni...
  9. P

    Kwani zuku nao matapeli?

    Hawa jamaa naona wameanza na wao kuzingua sasa. Ninazo akaunti mbili na wao zilikua zinaenda vizuri tu, Ila tangu juzi nimelipia huduma na bado sijafungiwa walisema ndani ya saa 24. Ila leo ni 96 hours, Nikiwapigia simu wanasema fundi tayari ana vifaa vyako atafika sasa hivi sasa sijui kapotea...
  10. K

    Zuku yamwaga ajira kwa vijana wa Kitanzania

    Wakuu Kazi hizo. Sharing is caring.
  11. R

    Nataka nifunge zuku fiber ofrisin vipi speed yao ipo poa au wanga tu

    Habari wadau Zuku wamekuja ofisin leo wametuambia tulipie 69000 ili watuunge na fiber ya 10MB/S vp speedd yao nzur au utopolo Nasubiri ushauri wenu wadau
  12. TheDreamer Thebeliever

    Naomba unieleweshe kuhusu ving'amuzi vya Zuku na Continental

    Habari wadau! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Naomba unieleweshe kuhusu ving'amuzi vya Zuku na Continental kwa wale wazoefu nahitaji kujua kuhusu bei ya kununua vifurishi na channels zilizopo. Asanteni
  13. SankaraBoukaka

    Hivi hawa Azam TV, Startimes, Zuku na DSTV huwa wanalipa kiasi gani cha fedha kwa filamu moja ya kibongo?

    Yoyote anayefahamu Azam TV, Startimes, Zuku na DSTV huwa wanalipa kiasi gani cha fedha kwa filamu moja ya kibongo anifahamishe..
  14. Olmost

    King'amuzi cha Zuku kushindwa kukamata signal, tatizo nini?

    Habari wakuu, king'amuzi cha zuku kushindwa kudaka signal ili hali dishi limetegwa vizuri na ving'amuzi vingine vikikamata katika dishi hilohilo, tatizo inaweza kuwa ni nini?
  15. H

    ZUKU fiber unlimited home internet

    Habarini wanajamvi, karibuni sana niwapatie huduma ya zuku unlimited home internet, ni huduma nzuri yenye kasi zaidi, free device(router), na free installation kwa wateja wetu. huduma kwa sasa ni uhakika kwa maeneo yafatayo upanga,kariakoo,msasani,masaki, kinondoni,mikocheni na oysterbay. kwa...
Back
Top Bottom