0-1=haiwezekani

KIRANGWA

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
207
Reaction score
46
Ndg wanajamvi naamini humu wamo walimu - kwa taaluma. Naomba kuuliza kwanini wanafunzi wa kuanzia darasa la I hadi la V wanafundishwa kuwa namba ndogo haiwezi toa namba kubwa?
Mfano; 2-6 = haiwezekani
3-10= haiwezekani
 
He he he he, kwanini darasa la saba hawafundishwi calculus?
 
mkuu hiyo ni hatua,anapokuja kwa na uelewa wa kutosha ndipo anapofundishwa dhana nyingine kama hasi na chanya na mengineyo kulingana na mtaala na darasa alilopo.
 
jaman walimu wa s/m njooni mtuambie ni kwanini?
 
Kwa umri huo wala hakuna haja ya wao kujua kuna kitu kama hicho.
 
Ndg wanajamvi naamini humu wamo walimu - kwa taaluma. Naomba kuuliza kwanini wanafunzi wa kuanzia darasa la I hadi la V wanafundishwa kuwa namba ndogo haiwezi toa namba kubwa?
Mfano; 2-6 = haiwezekani
3-10= haiwezekani

Mimi si mwalimu, lakini ni kwamba kwa muda huo wanakuwa hawajajifuna hasi na chanya, ingawa wantumia namba chanya pekee yake, hilo wanakuwa hawa ufahamu nalo
 
Ndg wanajamvi naamini humu wamo walimu - kwa taaluma. Naomba kuuliza kwanini wanafunzi wa kuanzia darasa la I hadi la V wanafundishwa kuwa namba ndogo haiwezi toa namba kubwa?
Mfano; 2-6 = haiwezekani
3-10= haiwezekani

Nakumbuka nlipokua advance level nliambiwa dunia inaumbo la sphere nlipofika juu nkaambiwa dunia ni bumpy shaped (irregular shape)!!

Nadhani haya mambo yanaenda na muda ukizingatia zaidi level na uelewa wa mwanafunzi!! Huwezi mfundisha mwanafunzi wa o-level complex number na kumwambia kuna root ya negative number!! Kwa olevel utaambiwa hamna square root ya negative number ila ukija advance unaambiwa ipo!!

Level na uelewa wa wanafunzi ndivyo vitapelekea nani afundishwe nini.
 
dahhh mkuu A'level kitabu gani cha geography na mwl yupi alikuwa dunia ni sphere!? Kams hukusoma usisingizie vitabu na walimu alafu tena A level,mxiuuuu poor narrow minded...heretical teachings.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…