01/07/2012 mbona kuna tetesi ya kupanda kwa baadhi ya bidhaa muhimu?

serikali imeamua kuwekeza kwenye fegi na viroba!!
 
walevi wote okokeni ili Mmuikomeshe budget ya pombe na sigara...
 
Mimi nimehamia kwenye kunywa maji tu......
 
walevi wote okokeni ili Mmuikomeshe budget ya pombe na sigara...

Hili nalipeleka kwenye kila pale nitakapoweka nanga kama wadau watalipokeaje hili.

Kama hata tutawakomesha hawa mafisadi!
 
Hili nalipeleka kwenye kila pale nitakapoweka nanga kama wadau watalipokeaje hili.

Kama hata tutawakomesha hawa mafisadi!
Siyo lazima wote hata robo yao maana yake lazima bajeti iyumbe...
 
leo ndo siku ya mwisho kula gambe, fainali euro 2012 ikiisha na mi ndo ntakuwa namalizia bia ya mwisho , kwa heri mubia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…