01/12/2018 ni siku ya UKIMWI duniani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
HIV Vaccine To Begin Human Trials in 2019

Hii chanjo itaanza kujaribiwa kwa binadamu kuanzia mwaka 2019 baada ya kuonyesha mafanikio makubwa katika kudhoofisha virusi vya UKIMWI kwa wanyama.

Wanyama waliojaribiwa walikuwa pants, Guinea-Bissau-pigs na mtaani. Kwa mafanikio chanjo hiyo iliweza kupenya sehemu ambazo virusi hujificha.
Matokeo ya utafit huo yalichapishwa katika jarida la Nature Medicine la 4 June, 2018.

Wataalamu walioendesha utafit huo walitoka National Institute of Allergy and Infectious Deseas central. Chanjo hii ni epitope based. Epitope ni sehemu maalum ya antigent ambayo antibodies wanajiungia.
Inaendelea .
 
Ni siasa za kitaalamu hizi
Kabisa mkuu! Ni kama siasa za ccm zinazohakikisha kuwa kero na matatizo ya wananchi hayapungui ili uje kuyatumia kuombea kura uchaguzi ujao,hizi dawa kila wiki zinagunduliwa lakini hazinaga mwendelezo! Acheni waathirika waendelee kupambana na Arv.
 
Kuna mwanga mkuu, hii vaccine inapitia research bado lakini licha ya kuzuia maambukizi mapya wale wenye undecteble status wanaweza kupona kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…