#COVID19 1.1% ya Waafrika wamepata walau dozi moja ya COVID19

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Benki ya Dunia(WB) imesema watu wa nchi za kipato cha chini waliopata chanjo walau dozi moja ni 1.1%

Dkt. Ahmed Ogwell kutoka Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Afrika(CDC) amesema idadi ikiendelea kuwa ndogo vituo vya afya vitaelemewa

CDC wameahidi kuendelea kusaidia nchi kuongeza idadi ya watu watakaopata chanjo
 
Sasa hata wakiongeza hizo chanjo inasaidia nini? Kwani hiyo idadi ndogo ni kwa sababu hakuna chanjo au watu hawataki kuchanja?
 
Tatizo waafrika wengi wanaamini sana ushirikina,
Kwahiyo elimu sahihi kwanza inatakiwa
 
Back
Top Bottom