Benki ya Dunia(WB) imesema watu wa nchi za kipato cha chini waliopata chanjo walau dozi moja ni 1.1%
Dkt. Ahmed Ogwell kutoka Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Afrika(CDC) amesema idadi ikiendelea kuwa ndogo vituo vya afya vitaelemewa
CDC wameahidi kuendelea kusaidia nchi kuongeza idadi ya watu watakaopata chanjo