1$ = 1505 tsh as a sellng price

Mwana kinyonga

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
377
Reaction score
224
Leo ktk plka za hapa na pale mitaa ya posta nimekuta hiyo rate ktk bureau posta mpya nyuma ya gapco,wakat ktk zngne rate zinacheza 1602-1594.Swali langu wakuu,determination ya rate of exchange ni nn! Na kwann hii bureau ina kiwango cha chin kias hiki au wao hawataki faida? Naamin kwenye weng hukosi la kujifunza.
Nawasilisha.
 
Bank kuu wao hutoa rates zinazotawala wakati huo kwenye market na wenye biashara uamua kutumia base hiyo wauzeje au wanunueje bila hasara.
mark you kila mtu anaangalia faida tu. Lakini kwenye ushindani mkali wa biashara lolote laweza kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…