Ndiyo Boss, KwaMaana Nyingine Kwa Kila 20Kwa20 (400Sqm) ni Tsh 75M
Ndyo bei zake Boss huku, Week Chache Zilizopita Kuna Mzee Mmoja ameuza Kiwanja Chake Kilikuwa na Ukubwa wa 900sqm aliuza Kwa 150MHaujui iron is still my friend??
Bei ghali sana hiyo
OkNdyo bei zake Boss huku, Week Chache Zilizopita Kuna Mzee Mmoja ameuza Kiwanja Chake Kilikuwa na Ukubwa wa 900sqm aliuza Kwa 150M
Sent using Jamii Forums mobile app