atapata haya ni matokeo mazuri USHAURI wangu tafuta kitabu cha TCU GUIDE BOOK 2012/2013 kina ORODHA YA VYUO VINAVYOTOA DEGREE YA LAW INCLUDE MLIMANI (UDSM) MZUMBE ,TUMAINI,SAUT , UDOM NA VINGINENimerudi tena! Niliwahi omba ushauri wa mdogo anayetaka kusoma sua nikapewa. Nashukuru Mungu dogo naye kafanya mambo mazuri hivyo ushauri wenu utafanya kazi. Sasa hivi nina mwingine wa kike kapata moja ya point nane na siku zote anasema anapenda kusoma sheria. Atapata? Sijacheki matokeo shule zingine za art kulinganisha kama competition itakuwaje. Aanze na chuo gani kujaza ili apate? (naamini vyuo vyote siku hizi vimeingiliwa na siasa na ubora wa udsm wa enzi hizo wameshauua ndo maana siulizi chuo kipi bora). Nashukuru kwa ushauri wako.
inategemea na kiwango cha ufaulu pamoja na walioapply mwaka huo katika course hiyo..mimi nilikuwa na 1.6 nikakosa law UDSM, walichukua mpaka 1.5 mwaka huo, ikanibidi kwenda Tumaini University, now i am an advocate..aende Tumaini au mzumbe atapata, ila UDSM ushindani ni mkubwa sana..
OFCOZ HATA kipindi mimi naingia mlimani ilikuwa miaka minne sijui kama wamerestucuture nakuwa miaka mitatu hiyo nimeCOPY NA KUPASTE KAMA ILIVYO KWENYE KILE KITABU PAGE 151 unaweza kutazama kuhakiki nafikiri kwa uhakika inabidi utape ufanunuzi chuo kabisanashukuru mganga mkweli. Kuna kitu kimenishitua,hivi udsm wamepunguza umri wa llb? Tangu lini?