Uchaguzi 2020 1/9/2019 mkuu alikutana na na watendaji wa kata zote nchi, je aliwambia nini?

Uchaguzi 2020 1/9/2019 mkuu alikutana na na watendaji wa kata zote nchi, je aliwambia nini?

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
3,768
Reaction score
4,038
Wanajamvi,
Kama tujuavyo, Septemba mosi 2019, mkuu alikutana na na watendaji wa kata zote nchi, je haya yanayotendeka sasa kuhusiana na huu uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika siku za hapa usoni ni moja ya maazimio na maagizo waliyopewa hawa watendaji?

Inasikitisha sana mambo yanayoendelea, tamisemi imeshindwa kutoa majibuya kujitosheleza. Wamebaki wakisema kama mtu ajaridhika, basi akate rufaa. Je wanashindwa kushughulikia/kuzuia tatizo, je likishatokea ndo wataweza kulishugulilikia? Hizo rufaa zitatupwa hadi 2025.

Kwa haya yanayoendelea, si ajabu majina ya wagombea ubunge na udiwani 2020 yakaenguliwa. Viongozi wa kisiasa kuweni makini.


Nawasilisha
 
[emoji30][emoji30][emoji30]
Screenshot_20191016-224559-picsay.jpeg
 
Back
Top Bottom