1 gbps!

Cestus

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
987
Reaction score
132
Google wanaplan ya kusupply internet service ambapo itakua ina speed ya 1GB per second....
 
Google wanaplan ya kusupply internet service ambapo itakua ina speed ya 1GB per second....

hahahhahha nchi gani hiyo ? kwa hiyo google wanakuwa ISP kweli ? Niliwai kusoma hii story toka mwaka jana nikajua ni story tu . Je kuna nchi wameshaaanza kutoa hii kitu?
 
wanaanza kutest kwa baadh ya lucky community in US.
 
Kama hii itafanikiwa basi biashara ya pogramu za kompyuta, movies na vitu kama hivyo itapanuka sana through downloads. Well, technology inakwenda kasi. Let's see.
 
file la 5 GB utadownload kwa sekunde tano au sita...i can only imagine...hivi huku bongo unaeza hata kupata 1 mbps kweli?
 
file la 5 GB utadownload kwa sekunde tano au sita...i can only imagine...hivi huku bongo unaeza hata kupata 1 mbps kweli?

Waaapi!! Huku siasa hadi kwenye teknolojia.:disapointed:
 
i heard about that ok check hii apa msiblame ISP wa tanzania sana
1 South Korea 38.93 Mb/s
2 Lithuania 26.91 Mb/s
3 Latvia 26.31 Mb/s
4 Romania 23.91 Mb/s
5 Republic of Moldova 23.27 Mb/s
6 Netherlands 22.35 Mb/s
7 Aland Islands 22.07 Mb/s
8 Sweden 20.43 Mb/s
9 Japan 18.44 Mb/s
10 Portugal 17.77 Mb/s
11 Switzerland 17.55 Mb/s
12 Germany 16.48 Mb/s
13 Bulgaria 16.17 Mb/s
14 Iceland 16.03 Mb/s
15 Singapore 15.79 Mb/s
156 Tanzania 1.16 Mb/s

+ Expand Full List
Upload Speed
1 South Korea 21.11 Mb/s
2 Lithuania 17.65 Mb/s
3 Latvia 13.83 Mb/s
4 Aland Islands 10.97 Mb/s
5 Romania 9.89 Mb/s
6 Japan 9.64 Mb/s
7 Republic of Moldova 9.28 Mb/s
8 Bulgaria 8.25 Mb/s
9 Iceland 8.03 Mb/s
10 Sweden 7.76 Mb/s
11 Ghana 7.60 Mb/s
12 Denmark 7.53 Mb/s
13 Luxembourg 6.68 Mb/s
14 Ukraine 6.45 Mb/s
15 Andorra 6.36 Mb/s
141 Tanzania 0.48 Mb/
 
USA hapo mbna cjaiona?au wamechakachuliwa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…