Askarimtu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 277
- 185
Japo wengi wataguna lakini nina imani nitajitetea vizuri tu.
Historia ya Afrika na mtu mweusi ndio imekuwa gumzo tangu karne ya 17 na ndio iliyosababisha mgawanyo wa bara la Afrika. Ukarimu wa waafrika, na tamaa yao ndivo vilivoiponza Afrika ya wakati ule bila kusahau ujimwambafization. Wewe unadhania kwa nini inaitwa mama Afrika? Afrika ndio kitovu cha uchumi wa dunia, mziki ulianza Afrika, usanifu majengo ulianza Afrika, Ustaarabu na sheria zake ulianza Afrika, ufuaji wa chuma ulianza Afrika, lakini kiukweli hata binadamu wa mwanzo alitokea Afrika, na hii ndio hasa imeleta mijadala mingi duniani na research zote zikitoa majibu sawa kuwa hakuna dunia bila Afrika.
Mkoloni wa mwisho alivokuja Afrika, hakuamini macho yake kuwa yale aliyokuwa anayasikia kwa waarabu na wareno yalikuwa ya kweli. Lakini pia akaanza kuamini document zilizoandikwa na wagiriki na warumi kuwa zina ukweli. Basi wakoloni hao wa mwisho walianza kufanya utafiti na wakajithibitishia kuwa Afrika ni ardhi ya Mwenyezi Mungu na ni ardhi ya watu weusi wenye rangi tatu tofauti, yaani nyeusi yenyewe, wekundu weusi, na weusi wanjano. Pia wakagundua pia utofauti wao upo pia kwenye pua, urefu ...bila kusahau namna ya kuabudu miungu yao.
**********************nitaendelea siku nyingine kuelezea, ngoja niingie ndani sasa*******************
Nimeandika kichwa cha habari hiko nataka nifungue mjadala hapa kuhusu tu sehemu zinazopatikana kwenye Biblia ambazo zilikuwepo Afrika karne nyingi ziliozopita:
1/ Mto Tigr - huu sio ule unaopatikana kule mashariki (tigris). Nchi za kiarabu iraq ikiwa mojawapo. Huu mto umezunguka nchi ya ethiopia (kushi) kama Biblia ilivosema
2/Mto eufrates -huo sio ule wa iran (euphrates).Huu mto upo sehemu ambapo leo hii ndio panaitwa volta (upper and lower)yaani nchi za burkina faso, niger na nyinginezo.
3/Syre, Median -nadhani wote mnajua kuwa zipo arabuni kwa maana ya syria, na median. Lakini kiukweli zote zilikuwepo Central Africa (Afrika ya Kati).
4/AGAG -Jamani Afrika kulikuwa kuna dola ya hawa mijitu mikubwa(waamaleki) wenye title ya Agag kuanzia Afrika ya kati mpaka Afrika ya kusini. 1 Samwel 15:6-9
5/Gilgal (gilgal) -😀 Wayahudi wa uongo, wanaitafuta eti itakuwa sehemu fulani pale Israel, wakati kiukweli ipo pale Kenya mpaka mda huu ninavoandika. Kama huamini muulize mkenya. Yoshua/Joshua 4:19-22.
Yoshua/Joshua 5:9
6/Mlima Sayuni/Zion/Sion -huu mlima ni mlima Kenya na ramani zote za zamani zimeonyesha na siri iliyopo ni kuwa walitoa vile vitabu kwenye Biblia vilivyosema kuwa mlima Sayuni upo katikati ya dunia.Kiukweli hata imaginary line (equator) imepita pale.
Yubilee/Jubilee 8:19 Na Nuhu alijua kuwa bustani ya Edeni ilitengwa ziadi kwa heshima na ni maskani ya YAH (Mungu), na mlima Sinai ni katikati mwa jangwa, na mlima Sayuni ni katikati mwa kitovu cha dunia. Hivi vitatu viliumbwa kwa pamoja vikiangaliana/kukabiliana (facing each other).
7/Zair/Sair - Ndiyo Zaire ya leo, lakini cheki maana ya Zaire wikipedia etymology yake uone jinsi walivokwepesha.
2 Wafalme/Kings 8:21
8/Shinari /Sennar - hii ndiyo Sudani ya leo nchi tambarare. Na ilikuwa na jina hilo hilo enzi na enzi.
Mwanzo 14:1-9
9/Gibeon - Waulize wanamibia kama hii sehemu haipo kwao. Je, yale mawe Mungu aliyowapiga nayo watu kwenye vita vya Israel hayapatikani hapo?? Enyi waafrika?? Eti Carbon 14 inatuambia kuwa ni vimondo vilivyoanguka duniani miaka milion 2000 iliyopita 😀😀.
Yoshua/Joshua 10:10-12* Hapa pia kuna mkanganyiko wa maandiko na lugha kuhusu hayo mawe. Kwa kiingereza yameandikwa hailstone: Je, hailstone ni mawe ya barafu? au mawe yaliyoshushwa kwa mfumo wa kunyeshea.??
10/Amoni - Je, wana wa amoni sio wa-libya wa leo?? Mwanzo 19:37-38
****************************************************************************************************
Nitatoa ramani chache leo...na nitaendelea siku nyingine.
Waarabu wana ukweli wanaoufahamu tofauti na ule uliopo sasa, sema hawaeleweki wanachokitaka kwasababu ukweli ukitoka basi mambo mengi yatabatilika. Asia pia inafahamu baadhi ya vitu lakini imekaa kimya. Ni sisi waafrika tu hatujui tulipotokea na historia yetu vizuri.
Je, kuna mwenye nyongeza?? Upingaji??
*NB: Mwenye Kamusi ya majina ya Sehemu ya Afrika Mashariki anisaidie tafadhali. Namaanisha ile inayoonesha etymology za neno mfano: Dar es Salaam = kiarabu, Nyumba salama(amani), mahali salama lilianza kutumika mwaka1865 (zamani mzizima).