1 in a million moments: Jay Z, Rick Ross, Lil Wayne na DJ Khaled Stage moja Grammys 2023

1 in a million moments: Jay Z, Rick Ross, Lil Wayne na DJ Khaled Stage moja Grammys 2023

Sikutarajia GOD DID kama ingekosa wala tuzo moja

Na Kendrick Lamar kabeba tuzo kadhaa ambazo binafsi naona kama sio hivi
Kazi ya Academy hio.

Ila hii show yao ilikua balaa, creativity ya hapo noma sana.

Jigga kamaliza kiboss balaa
 
images (33).jpeg

Hii meza Jigga kamwaga flow kiboss balaa, Af ukiangalia vzr utaona iko kama vile barabarani kwenye rami
 
Back
Top Bottom