kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Kazi ya Academy hio.Sikutarajia GOD DID kama ingekosa wala tuzo moja
Na Kendrick Lamar kabeba tuzo kadhaa ambazo binafsi naona kama sio hivi
Creativity iko juu sana.Aisee hii show ya grammys mwaka huu hatari. Miamba kadhaa ya Rap stage moja huku jay z akishuka verse yake ya karibu dkk 5 kwenye God did.
Jionee mwenyewe hapa chini
Wanalinda copyrightNaona video imefungiwaView attachment 2511079