1 trending Tanzania (hii ni nafasi ya WCB kwa nini mjisumbue kushindana nao?)

Kwanza unauhakika Ile video ilifutwa kwa kuiba beat? Kwann audio haikufutwa Kama shida Ni beat? Alafu unaongelea subscribers wa mond wakat wimbo upo kwa zuchu, fact uliyoongea Ni advertisement lakin YouTube nisehem ya advertisement tu ndio maana hata ukienda kwenye music platform nyingine WCB bado wanafanya vzr tu
 
Kazi ya hater ni kukumbusha tu kuna vipya vingi chini ya jua ila akili mnaikalia kwa kisingizio cha hakuna jipya chini ya jua.
hakuna kipya chini ya jua hata hivyo mwenye idea yake yuko kimya ila kuna watu mnaviherehere kama bao la kwanza.
 
Yeah juzi mmefutiwa wimbo kwa wizi. Video ya tanasha ft domo mliiba idea brazil mpaka msanii wa watu akalalamika

Mwambie domo achekeche akili. Mpo trending lakin zuchu hana hata hit song moja
Wezi???kivipi??? kuna msanii ulishawahi kumsikia akisema ameibiwa na wcb???
 
Kazi ya hater ni kukumbusha tu kuna vipya vingi chini ya jua ila akili mnaikalia kwa kisingizio cha hakuna jipya chini ya jua.
Hater mwaminifu. Kwa hilo nakukubali tunaahidi kubadilikaπŸ˜€.
 
Hivi Mondi anaweza akala huyu Zuchu eeh!! Maana wamejiachia hovyo sana humo ndani..

Hatari,...
 
Umefuatilia taarifa vizuri au unasema tu??? Yule mbrazil hakulalamika ila alithibitisha kuwa Diamond aliomba ridhaa ya kutumia kazi yake.
Video ya juzi YouTube walisema kwamba ilifutwa kimakosa na madai ya mlalamikaji hayana msingi.
Hivi nikija kwako nikasema naomba nitumie kazi yako,ukiniruhusu nikatumia nitakuwa nimeiba???
Yeah juzi mmefutiwa wimbo kwa wizi. Video ya tanasha ft domo mliiba idea brazil mpaka msanii wa watu akalalamika

Mwambie domo achekeche akili. Mpo trending lakin zuchu hana hata hit song moja
 
Nilifatilia aliomba copy kidogo lahaula haaaa jamaa akapiga copy and paste mpaka mbrazil akashangaa hakutegemea. Eti bahati mbaya hakunaga hio,video ilifutwa kwa wizi
 
lakini WCB ina mashabiki wapuuzi jaman[emoji23][emoji23][emoji23]

kuna mfugo mwingine kule nimeona unasema trending sio ishu.

wewe naye umekuja na lako[emoji23][emoji23].kwani tatizo nini jaman???
 
kwanza nikulekebishe jambo moja kuhusu wimbo uliofuta youtube, nikinukuu kauli yako kuwa waliiba beat si sahihi ni upotoshaji wa hali ya juu. Wimbo ulishushwa youtube kwa claim ya tony Anton lakin wcb walituma vithibitisho kuwa wana hati miliki ya wimbo pamoja na video youtube wakajiridhisha wakaupandizha tena wimbo.

Pili wimbo ulipandishwa youtube kwenye channel ya Zuchu na si diamond. Na wimbo umekuja kulipiwa ads baada ya kurudishwa. Hata hivyo lengo kubwa la ads nikufanya kazi yako iwafikie watu wengi ili msanii aweze kutanua wigo wake wa mashabiki na kutengeneza pesa kupitia views. Hizo ni business strategies, sasa wewe kaa msifie upumbavu msanii wako, nyimbo zake nyingi views ndogo sana na hii inamaana anayengeneza pesa ndogo kupitia youtube. Kiba si mshindani wa diamond kiuhalisia kabisa amepigwa gap kubwa sana. Na huo ndio Ukweli mchungu ambao mashabiki wa kiba inawauwia vigumu kuumeza.
 
Kila siku mnaimba pambio kua diamond kamzidi kiba kila kitu lakini bado mnamshindanisha nae.
 
Platnum member kuleta utimu ni aibu kubwa.
Kwani ku advertise ni kosa??? Huyo Kiba kilichomfanya asitumie account yake yenye subscribers wengi ni nini???
Halafu kumbuka hiyo nyimbo ime trend kwa sababu ya Madongo yake, mashabiki gani loyal wametelekeza nyimbo zake mtandaoni. How come seduce me ina views million 10 ikiachwa kwa views million 30 na zilipendwa ambayo mara ya kwanza iliipita???
 
Nilifatilia aliomba copy kidogo lahaula haaaa jamaa akapiga copy and paste mpaka mbrazil akashangaa hakutegemea. Eti bahati mbaya hakunaga hio,video ilifutwa kwa wizi
Keep hating miss, seems like hate make you feel good and make you glow. No body can change you.
 
Pointi imekuingia mkuu. Mtaomba omba hadi lini. Naombea msije mkafikia hatua yakuitwa ombaomba fc
Keep hating miss, seems like hate make you feel good and make you glow. No body can change you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…