1 trending Tanzania (hii ni nafasi ya WCB kwa nini mjisumbue kushindana nao?)

Naomba unitajie wimbo wa mondi

Halafu nikutajie mtu ambaye alishauimba
 
Ukute kijana hata hela ya kula huna. Unabaki kutoka mishipa ya shingo wenzako wanavyoingiza hela kwa kupata viewers wengi. Siku mkija kujitambua vijana wa TZ kuwa kuna maisha yako binafsi na hao wanamuziki ni watumbuizaji tu mtakuwa mmchelewa sana
 
Mkuu umedrop pumba Sana ,
 
kwahiyo milioni 10 ni views chache!!!
 
Ukute kijana hata hela ya kula huna. Unabaki kutoka mishipa ya shingo wenzako wanavyoingiza hela kwa kupata viewers wengi. Siku mkija kujitambua vijana wa TZ kuwa kuna maisha yako binafsi na hao wanamuziki ni watumbuizaji tu mtakuwa mmchelewa sana
mkuu kuwa fans haimanishi watu hawana pesa, kuna muda maisha yanahitaji relaxation, ujue kila mtu ana njia yake ya kujiburudisha wengine hujiburudisha kwa kufuatilia mpira, kunywa pombe, bet, kufuatilia kazi za wasanii na nk...
 
Hata Alikiba kashacopy kutoka kwa Diamond, kuvaa Masuti kwenye video zake , hio kitu iliaanzwa na Diamond kitambo naakaacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…