10 Bora, Chama, Waziri, RC, MP, Op MP, Gnd MP, Gazeti, Radio&Tv, Kipindi, Mtandao

nyumbamungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
1,033
Reaction score
895
Kumi bora zangu katika masuala ya kisiasa, Mwaka 2016 hadi 2020.

1. CCM - (chama)
2. William Lukuvi - (waziri)
3. Anthony Mtaka - (mkuu wa mkoa)
4. Cosato Chumi - (mbunge tawala)
5. John Heche - (mbunge upinzani)
6. Esther Matiko - (Mbunge jinsia ya kike )
7. Mwananchi - (gazeti)
8. Clouds na ITV - (radio na tv)
9. Power Breakfast na Taarifa ya habari ITV (kipindi)
10. Jamiiforums - (mtandao wa kijamii)
 
Mbona Polisi hawamo kwenye list yako?
 
Bila Jemedari, mbabe wa Mike Pompeo na Kaka yake Mike Pence, RC wa nchi, Rais wa Dar, mh. Paul Christian Makonda wengine mnamwita Malyangili, Orodha yako itakuwa batili.
#imezuiliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…