10 most influential Tanzanian Women for the yr 2011

Hebu tueleze katika hao waliotajwa mmoja mmoja wameifanyia nini Nchi hii masikini na omba omba ya tatu Duniani baada ya Irak na Afghanistan!!!!!!
 
Unapenda umbea ehhhh?

Kulikua na ulazima gani wa kusema watataka watolewe na watu waiwahi?Watakaochelewa watakosa nini cha maana?
 
Unapenda umbea ehhhh?

Kulikua na ulazima gani wa kusema watataka watolewe na watu waiwahi?Watakaochelewa watakosa nini cha maana?

Tukunyemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mama wa EGYPT kaja na list mpya sasa iwahini muiweke hapa kabla hao waliotajwa hawajamwakia awaondoe from her blog

10 MOST INFLUENTIAL TANZANIAN WOMEN FOR THE YR 2011......


nimefanya msaada tutani wa kuweka hiyo list hapa ili tushirikiane kuwajadili.

1.kwa kuanzia, haiko wazi katika u-turn blog kuhusu vigezo ambavyo vimetumika kuweza kutambua na kupima hiyo influence ya hao akina mama.
2. Haikuelezwa kuhusu sphere of influence ya hao akina mama, mfano yes Bi Kidude ni mkuu kule mjengoni, ame-influence nini na wakati gani.....na je ni kweli ana-influence au anatumia mabavu kuendesha mambo???

Hoja yangu ki-msingi iko kwamba kama mtu ana influence basi tujue katika issues zipi, hata nishani zinapotolewa huelezwa sababu na si mtu kuamua tu kwamba fulani na fulani kadhaa pasi na sababu.

Ni mtazamo tu anyway, blog ni ya Mange na ana haki ya kufanya anachokitaka na blog yake.
 
Unapenda umbea ehhhh?

Kulikua na ulazima gani wa kusema watataka watolewe na watu waiwahi?Watakaochelewa watakosa nini cha maana?

Umbea ni mzigo kama ulivyo ujinga, dahhh kiti kinwaka moto kijana
 
Duh, naona amemsahau Wema Sepetu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…