10 Most Intelligent Humans To Ever Exist

Jesus is God, Muhammad was just violence man he has change nothing than formulate terrorism & hatred.

utakuwa unaingiliwa huko nyuma sio bure maana mnaopumuliwa vichogoni mnapenda kulipoka
 
huo ndio ukweli ambao hawatakuja kuukubali

we ndo mpuuzi kweli, tangu lini mungu akasulubiwa na binaadam aliowaumba? mbona vitu vingine ni vidogo hata kindagaten anaelewa? ndo nyie mnachonga masanam kisha mnaanza kuyaabudu
 
we ndo mpuuzi kweli, tangu lini mungu akasulubiwa na binaadam aliowaumba? mbona vitu vingine ni vidogo hata kindagaten anaelewa? ndo nyie mnachonga masanam kisha mnaanza kuyaabudu

Ni kweli mpuuzi anayeabudu sanamu kanisani.Na ni bora wale wanao fanya mazoezi ya kigaidi msikitini,tena ni bora wanaojitoa muhanga.Ni bora zaidi wanaopinga nguruwe haramu na kuenzi mapenzi halali ya ma.ta.ko.ni.Takbriiier
 
galileo hayupo,? faraday hayupo...? eistein hayupo..? steve jobs hayupo...?

steve jobs hawezi kuwepo kwenye hiyo listi..labda eistein na faraday...
pia naona ametumia michoro ya Da Vinci na hajawekwa kwenye listi..
 
steve jobs hawezi kuwepo kwenye hiyo listi..labda eistein na faraday...
pia naona ametumia michoro ya Da Vinci na hajawekwa kwenye listi..
Mzee kalou steve jobs embu msome vzr ...yule jamaa alikua kichwa
 
Hao mkibishana mkumbuke kinachoendelea africa ya kati.

Sidhani kama tutafika huko, cha kufanya ni kuwa trace hao walioanzisha haya malumbano...then wafungiwe mahali walumbane weeeee...then wapewe silaha za jadi watwangane weeeee......mpaka watosheke.....wakitoka wahamishiwe MOI wakamalizie maisha yao yaliyobaki.
 
Ina maana sisi ma black hatuna contribution yoyote ulimwenguni zaidi ya kuwa ZINJATHROPAS.......
 
Hii list imeandaliwa wazungu kukidhi haja za kipropaganda za white superiotiy

Hawajatajwa wahindi inventors of trigonometry au waajemi kugundua algebra

List mbovu
 
steve jobs hawezi kuwepo kwenye hiyo listi..labda eistein na faraday...
pia naona ametumia michoro ya Da Vinci na hajawekwa kwenye listi..

Umenipata mkuu, nlitaka kuuliza hili swali.
Kwa nn Leonardo Davinci hajawekwa?
He was great man.
 
Kama Shakespeare anaingia hapo basi inabidi Shaban Robert awe namba moja ndiyo yeye afuate.
 
Shakespear namba moja? Bure kabisa
 
galileo hayupo,? faraday hayupo...? eistein hayupo..? steve jobs hayupo...?

Steve alikuwa brilliant lakini sio wa kiwango cha kuwa kwenye kundi la 10 most intelligent humans to ever exist........kama ni hivyo basi kabla ya Steve Jobs kwenye hiyo list yako angetangulia Steve Wozniak - the engeneer who actually made early apple products...
 
Jesus is God, Muhammad was
just violence man he has change nothing than formulate terrorism &
hatred.

nakubaliana na wewe yesu aondolewe sbb yeye ni mungu maana thread inazungumzia wanadamu kama muhamad
 
Hii list imeandaliwa na ma-nguine tu. Svientists wa 6 eti shakespere wa 1? Huo mzaha umfanye awe wa kwanza? Kati ya Mashairi ngonjera na hesabu.physics.chemistry nini top? Acha masihara.
 
Hii list imeandaliwa na ma-nguine tu. Svientists wa 6 eti shakespere wa 1? Huo mzaha umfanye awe wa kwanza? Kati ya Mashairi ngonjera na hesabu.physics.chemistry nini top? Acha masihara.

Mimi mwenyewe nilitaka kuuliza kitu kama hicho maana mwangwini wanapenda sana kufananisha kutunga vitabu na kucalculate mahesabu wanapenda sana kujitoa fahamu...hakuna mtu kama blaise pascal wala einstein hawapo seriouz kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…