10 Reasons Why African Men DON’T ROCK!

Unachafua CV yangu wakati waifu wangu SL yuko niombe radhi kama sijaja kukunyanganya zile soksi nilizokuazima
Mi pia nimemstukia mda mrefu kuwa anachafua CV yako... kachukue soksi zako bana si bora hata ungemwazima kloro avalie zile raba zake zinavyomtokaga miguuni hadi huruma!..
 
Unachafua CV yangu wakati waifu wangu SL yuko niombe radhi kama sijaja kukunyanganya zile soksi nilizokuazima

Sox zemnyewe ilibidi niziloweke na kufua na kilo nzima ya sabuni ya unga kwa kuwa zilikuwa zinatema harufu mbaya haswa
Kidogo mbwa wa jirani azipitie maana alijua ni kiporo cha nyama kimeachwa nje kumbe sox bana
 
Hahaha! Jamani love yamekuwa hayo tena?.. Ila nashukuru mungu vile wewe waoga lakini hupakagi ile caro-light yangu...
Ahaaaa....nipake wapi wakati mimi mwenye mweupe kama karatasi za A4
 
Mi pia nimemstukia mda mrefu kuwa anachafua CV yako... kachukue soksi zako bana si bora hata ungemwazima kloro avalie zile raba zake zinavyomtokaga miguuni hadi huruma!..

Aje achukue bana maana humu ndani zinaharibu tuu hali ya hewa
Sijui zilikuwa na mwaka hazijafuliwa
Na usiziache nje maana mbwa akipita anapita nazo maana zina harufu kama kipande cha nyama kilichooza
 
Huu ni ukweli mtupu, "One of the reasons the Nobel Prices have fewer African’s and more Europeans and Americas is that Africans are still doing their thesis while the other people are in the laboratory and on the ground putting into practice what they have learn".
 
Embu niji-assess
no1. Siyo kweli I do communicate

no2. Siyo kweli tuna raha sana, 70% ya time yetu tunacheka, nyama choma na kunywa

no3. debatable

no4. BIG NO wake zetu wafalme

no5. BIG NO wake again ni wafalme wamedeka ile mbaya

no6. hiyo ndio raha yeneywe source of happiness ni soccer and politics inanoa akili

no7. watoto wanajitegemea mapema hiyo tabia njema kabisa ni nzuri..

no8. du! huko kutokuwa accoutable ndio accountability yenyewe

no9. siyo kweli labda wale wakuja (watoto wa mjini dar tunafahamu usafi enzi na enzi)

no10. kweli tupu mkuu wakisoma zaidi ndivyo wanavyoiba zaidi e.g. Prof. Mahalu
 
Asante sana SL
At least tumepata mtetezi bana sio madongo tuu kila siku
Hahaha! Mr. Rocky waogopa madongo eeh? Hapa hakuna cha madongo wala nini! Tunazungumza haki bin haki... Si unajua mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!
 
Aje achukue bana maana humu ndani zinaharibu tuu hali ya hewa
Sijui zilikuwa na mwaka hazijafuliwa
Na usiziache nje maana mbwa akipita anapita nazo maana zina harufu kama kipande cha nyama kilichooza
Hahah! Hiyo ndio shukrani ya punda...shida imekuishia waanza kashfa?...lol
 
Hahah! Hiyo ndio shukrani ya punda...shida imekuishia waanza kashfa?...lol

Sio kashfa wala nini
We lazima niseme ukweli bana
Sox gani zile tena mipira imeachia utafikiri za kuchezea soccer
 
Hahahaha! Swahiba upo?. Umeachiwa kwa dhamana au kesi imefutwa?..

Ile cafe ya jirani waswahili wameiba jenereta aisee, sasa kupata net inabidi niazime baskeli ya hazbendi wa dadaangu niskume mkweche umbali wa maili tisa. Kuna kila dalili nitafanya busha karibuni, hili baskeli halina hata girisi kwenye mnyororo.
 
Hahaha! Mr. Rocky waogopa madongo eeh? Hapa hakuna cha madongo wala nini! Tunazungumza haki bin haki... Si unajua mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!

kabisa bana
lazima upate mtetezi hata kidogo
kweli kama ni sifa leo umetupa asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…