10 Reasons Why African Men DON’T ROCK!

Ile cafe ya jirani waswahili wameiba jenereta aisee, sasa kupata net inabidi niazime baskeli ya hazbendi wa dadaangu niskume mkweche umbali wa maili tisa. Kuna kila dalili nitafanya busha karibuni, hili baskeli halina hata girisi kwenye mnyororo.
Hahaha! Karibu tena jf bana! TF ameenda kunyoa msubiri atakuja mda sio mrefu!
 
Aise si unamuona anavyoringa na TF hapo
Kila akitaja maneno mawili haachi kumtaja TF
Utafikiri ndio kila kitu kumbe anazugwa tuu hapo
Hahah...ujue sheria za lile limbwata nilompa TF namba moja ni kumtaja kila dakika ndio litafanya kazi vizuri...
 
Dah! apewe pole tu, Ze finest wenyewe kafulia mbaya, anakopa mpaka kondom. kulaleki!
Husninyo pia alileta uzushi kama huu wako ila nikaweka masikio pamba...hivi angekuwa kafulia angeniletea 'azam cola' kila siku jioni kweli? Think twice klorokwini...
 
Husninyo pia alileta uzushi kama huu wako ila nikaweka masikio pamba...hivi angekuwa kafulia angeniletea 'azam cola' kila siku jioni kweli? Think twice klorokwini...
hehehe sweetlady bana! sasa huku PM mbona unanambia jamaa anavaa ndala moja buluu moja rangi ya yanga!
 
Duh! Hii research sijui ilikuwa ya mwaka gani na ilitumia basis gani manake ni point chache sana katika hizo hapo bado zina apply in today's world. Anyway ngoja tusikie na opinions za wengine but on my side hizo points nyingi zinarelate na enzi za mwalim!
 
Darlin' klorokwini, TF usiuamini huu uzushi wake...
Asante darlin' nami nakuahidi sitouamini. Halaf kuna pm kuna kadada kanajitongozesha kwangu lakini nimekambia mimi ni wa sweetlady kwa usafi na uchafu, nitakufowadia ushuhudie.
 
Asante darlin' nami nakuahidi sitouamini. Halaf kuna pm kuna kadada kanajitongozesha kwangu lakini nimekambia mimi ni wa sweetlady kwa usafi na uchafu, nitakufowadia ushuhudie.
Hahahah!....umechakachua quote??... Paw popote ulipo njoo unisaidie hii kesi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…