10 Reasons Why African Men DON’T ROCK!

this is a beautiful writing if i may add......im gona have to agree with it on SO MANY aspects plus ni kuwa there strong assets are actually their weak points. Id like to see more MEN not just African men being happy for the women actually on top and doing what they do. Coz Lord knows these men cant stand to see a woman on top.......na mtajibeba mwaka huu....more than 50% of college attendees are women!!!
 
Jamani hebu tuongeeni ukweli wanaume humu haya mambo tunaonewa kweli? Au ni ukweli halisi tulio nao.
 
Na ole wako uumwage wakati waona kuku wamejaa hapa!..
lakini usijisifu nae,wakati wenzako wanakun'gong'a.kumbuka kikulacho.ila sisemi zaidi.wewe endelea kujishebedua nae tu.sina zaidi
 
Ama kweli mwisho wa mwezi kuna mamboi! Naona uko kimkakati mke mwenza! Full kufyagilia!
Hahaha!...taratibu mke mwenza watanistukia bana... Si wajua hizi tarehe habari gani hugeuka kuwa how are you?.. Siri yako lakini...
 
Huu ni upuuzi. Stereotyping at its best.
 
Wachunguzi wanadai kuwa Idd amini Dada was just a small boy before his wife,however what an article says is very true for most of men ,lakini mimi nimeshabadilika siku nyingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…