10 rules of any office

yah!...ni kweli kabisa,..na hasa kwetu huku kwa kina iwe
 
Ya! Kazn kunahitaji ujanja. Maboss wengi hawahitaji challenge. Its da reality. Thx.
 
katika namba 9 apo ndo kuna wale wakina nanii wenye wao wanatumiaga vyeti vyetu kufanya kazi hao watu siku zote wako top top sana
 
katika namba 9 apo ndo kuna wale wakina nanii wenye wao wanatumiaga vyeti vyetu kufanya kazi hao watu siku zote wako top top sana


Hio namba 9 Inaweza onekana mzaha... But so true...
 
11. (The forgotten rule) The Boss' wife decides who gets fired and who gets promoted.
 
thats truuuu, ila ukiwa na watu kama awa watano katika kampuni yako then ur company is dead


Watano katika one company?? Then kweli you are doomed. Mmoja tu akiwa anaendesha mambo na yupo hivo ni disaster...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…