Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Make up zidumu tu maana kuna ambao watashindwa hata kutoka nje zikikosekana
dah! umenifurahisha inaonekana na wewe ni mteja wa kudumu!
Usilolijua usiku wa giza.
nisilolijua lipi funguka uleweke?
dah! umenifurahisha inaonekana na wewe ni mteja wa kudumu!
Kik k rocks na taylor s nt bad,katty perry ,tyra khahhh.....
Bci na sie tukipga hzo makeup mbna hapatatosheerr